Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xhaka hayupo Tumuangushie nani lawama?
Unai Emery, hakuna kocha pale.
Alitakiwa kufukuzwa siku nyingi sana ila baadhi ya wachezaji kama Aubamayang ndio walikua wanaamua matokeo kwa uwezo binafsi na kujituma zaidi.

Nini kinatokea now?
Wachezaji hawana moyo wa kupambana tena, hawajitumi wala kujitoa kwa ajili ya timu. Hivyo ukijumulisha mbinu mbovu za kocha na kuvunjika moyo kwa wachezaji, Arsenal hii haitaweza kuleta ushindani wowote epl.
 
Back
Top Bottom