OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Leo tuko pamoja wakuu..
Nipigieni Leicester...
Kila la kheri Aubaaaaa
Nipigieni Leicester...
Kila la kheri Aubaaaaa
But muwe wakweli leo munatamani Arsenal ashinde ibaki uo uwezo tu haupo
Uwezo wa nini haupo mkuu?But muwe wakweli leo munatamani Arsenal ashinde ibaki uo uwezo tu haupo
Hatimaye leo umekuja na kauli ya kinyonge kuashiria maji yapo shingoni. Wakati mnatuponda nyie si mlidhani mtakua on form milele? Hizo tutakazofungwa na nyie mtakua mnafanyaje?Hii hali itapita tu , wewe piga kelele humu ,
Ngoja tumuondoe huyu muhind,
Kama mnadhan Chelsea mmemaliza safar , bas ndio mnaianza ,
Ombi letu Leo tupigwe , mech bado ni nyingi ,
Tutaanza kuwafukuzia , sijui kama mtashinda mech zote
Nacheka lakini naogopa!:by BAMBODk 88 Crystal palace 0 -2 Leicester citynacheka kama mazuri ila ntanunua dawa za presha kabisaaa hyo tarehe 9
Hahaha leo tuwaunge mkono wanipigie Leicester ...japo naona hata draw awapati ...
Come Leicester
Kila la kheri Arsenal![]()
Mimi msimamo wangu ni kuomba droo. Basi.
Hii hali itapita tu , wewe piga kelele humu ,
Ngoja tumuondoe huyu muhind,
Kama mnadhan Chelsea mmemaliza safar , bas ndio mnaianza ,
Ombi letu Leo tupigwe , mech bado ni nyingi ,
Tutaanza kuwafukuzia , sijui kama mtashinda mech zote
Unajua Liverpool vs Leicester mechi iliishaje?, acha kukurupuka.Tunawakumbusha tu "Ni Sosha pekee aliyeweza kuifunga Leicester"


Wa2 mna vigisu
Vardy
Maddison
Kichapo loading........................
mysterio,Arsenal fans I know many of you are praying that we lose this game, but from today’s lineup I can assure you that three points are ours