Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa ndipo mnapofail...angalia ma-captain wa vilabu vikubwa..Man City, Liverpool, Chelsea, Man United, Spurs et al. Captain lazima awe mkongwe haswa katika timu husika, mtu mwenye uchungu na timu, mtu asiye na wazo la kuondoka, mtu mzima mwenye akili iliyotulia. Arsenane mchezaji ana misimu miwili tayari anakuwa captain..
Kapambane mtaa wa 10
 
Babu Anaelekea Baryen

Update: there has already been talks between @FCBayern and Arsene Wenger @BILD_Sport
 
Ngoja tuendelee kupata haya matokeo naapa Mimi Mungu yupo game ya Leicester city hatutashinda hatutashinda kama kocha atakuwa ni Unai naapa hatutashinda

Hii statement nliitoa jmosi na bado narudia tutarudi na matusi makubwa humu Jumamosi huyu alitakiwa akitoka ureno anarudi spain direct na sio London
Kwani umemwajili wewe?
 
kwa wale waliocheki hii mechi, hivi Mustafi alideserve kuwa man of the match maana nimeacha kufuatilia mechi
20191107_144024.jpeg
 
Unai atafanya wachezaji wengi wazuri waondokeView attachment 1257263
board ya arsenal ya kichoko sana, wanaonekana wamaana lakini hakuna kitu wapo wapo tu.

aliondoka ramsey, wilshere ,carzola, steve ( diamond eyes) wote wameondoka kizembe sana hawajuii kushaiwi mtu..

unaskia ozil, xhaka na leo torreira ni upumbavu sana, yoyote yanasababishwa na mbwa moja tu ambaye analetaa balaa njee na ndani.

Arsenal board ni ma hopeless kabisa.
 
Hii timu naionea huruma sana ...

Na bado tunaitaji Emery Unai aendelee kubaki ili tuone Arsenal ikibeba makombe
 
Shida ya arsenal si team ya mtu mmoja ni team ya watu wengi kwahiyo hadi wakae vikao ndo waamue

Na wakati huo wanawaza tukivunja mkataba na huyu kocha tutapata wapi pesa za kumlipa? Wakati siye wenyewe masikin wa kutupwa

Lakin kwetu Chelsea Roman akiamka tu kama kocha anazingua anamtupia mabeg yake anasepa na pesa analipwa

Hakuna sijui cha upuuz wa bod kuket sijui wanakunywa juice ya miwa
Hii timu naionea huruma sana ...

Na bado tunaitaji Emery Unai aendelee kubaki ili tuone Arsenal ikibeba makombe
 
Sven aliuwa sahihi, huyu muhindi achape lapa tu.
Mkuu ni kweli kiburi cha Unai kinachagizwa kwa asilimia fulan na Raul , ila ukifatilia waliomleta Unai ni kina Gazid ndiye alikuwa na mamlaka makubwa, Raul alimtaka Enrique maana anamjua toka barca , Gazid alimtaka Arteta na Unai ,

Asilimia 70% ya waliomleta Unai hawapo Arsenal ,

Ukifatilia vzr Utaona Wengi pale Arsenal hawamuelewi Emery , ni swala la muda tu .

Gazid ndiye aliyemfata unai na kumpa dili, kipind kile anafika Kwenye interview alisema jinsi alivyompata huyu muhind


Raul alikosea sehemu ndogo kuondoka kwa Sven. , Dirisha la summer walimsikiliza sana Sven na akaleta watu kama kina Leno, lt11 , auba, Mateo

Dirisha la January , wakamsikiliza unai. ..kuhusu ujio wa Denis Suarez, kitu ambacho Sven alikikataa kabisa

Kuanzia hapa kukawa na maneno, suluhisho ikawa Huwez kumuondoa kocha , wakuondoka ni Sven ,
 
Back
Top Bottom