OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kuna mtu alini quote ndo nikaja kumjibu ila sio mbaya mkuu barca kala tatu, bayern munich kala 5 mimi ni nani mpaka nisifungwe





kwani Man u ni nin mpka isifungwe..Kuna mtu alini quote ndo nikaja kumjibu ila sio mbaya mkuu barca kala tatu, bayern munich kala 5 mimi ni nani mpaka nisifungwe





kwani Man u ni nin mpka isifungwe..Wanatafuta huruma ya kujifariji kwenye matokeo ya timu zingine..Mnajua kujifariji nyie. Barca anaongoza ligi, Bayern yupo top 5. Nyie mko wapi?
Good idea, but we don’t like to disclose our identities. Tuendelee hapahapaNaomba Niunge group la ARSENAL WHATSAPP +255766473551 Tafadhali
Arsenal ingekuwa na mmliki mwenye akili wangemuuza Xhaka wakamnunua Decoure wa watford, ni kiungo mzuri sana
Nakosa hata nguvu za kuchangia huu uzi, pathetic Unai
Mourinho, mmh tusubiri tuone!!!Twende kazi mkuu timu ya Arsenal haina shida yoyote ile tatizo ni Emery.
1. Lugha inamsumbua na wachezaji khasa wale waingereza vijana wadogo wanatatizwa sana mbinu zake.
2.Emery ameshindwa kumtumia ipasavyo Mesut Ozil na Nicholas Pepe.
Hivyo majina ya Mourinho na Dr Nuno Santos ndo yaliyoko mezani kwa Sanlehi yanashughulikiwa.
Stay tuned.
Kwa Mourinho matokeo tutapata mazuri ila tutakua tumezika identity yetu rasmi.Mourinho, mmh tusubiri tuone!!!
Kwa Mourinho matokeo tutapata mazuri ila tutakua tumezika identity yetu rasmi.



nacheka kama mazuri ila ntanunua dawa za presha kabisaaa hyo tarehe 9Kwa Mourinho matokeo tutapata mazuri ila tutakua tumezika identity yetu rasmi.
Inaboa sana viongozi hawajui kama Mashabiki hawamtaki kocha au wanapuuzia ?nafikiri Mashabiki wa London ni wapumbavu sana ingekuwa TZ next match hakuna shabiki ambaye angeenda uwanjani uwanja ungekuwa mtupu kabisa hatutakagi ujinga
Hao ndo wanatugharimu sasa maana kwenda kwao uwanjani mabosi hawashtuki ilitakiwa siku uwanja uwe mtupu waone userious kufanya maaamuziKule mashakibi loyal wanalipoa seasonal tickets. Siyo kama mashabiki wa kubangaiza wa kibongo
.
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT