Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Futuhi ni alhamisi mkuu,leo ni USIKU WA ULAYA
Huu usiku wenu ni wa uongo, usiku wa Ulaya ni wa CL tu.
Futuhi ni alhamisi mkuu,leo ni USIKU WA ULAYA
Woy9oooooooooooHuu usiku wenu ni wa uongo, usiku wa Ulaya ni wa CL tu.
Woy9ooooooooooo
Hahahahahaha
Hahahahaha
Safi sana jamaa wamechomoa
leo ni usiku wa klabu bingwa
Yaani hii timu ukijikaza tu unapata goli,Hawa jamaa wakazekaze kidogo ili wachomoe
Mimi namuota kila siku sio kumkumbuka tu mkuuVipi hamjamkumbuka profeseri?
Tupo ktk mpangomkakatiYani Arsenal ikitangulia hata 3, kumpa win ni wazimu.
Goli limefungwa kukiwa na mabeki wote langoni lakini hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumkaba mfungaji.Yaani hii timu ukijikaza tu unapata goli,
1 - 1
Unai out
Ni mpango mkakati,huwezi mfukuza ndugu bila sababu lazima utengeneze sababuGoli limefungwa kukiwa na mabeki wote langoni lakini hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumkaba mfungaji.
Hapa ndipo mnapofail...angalia ma-captain wa vilabu vikubwa..Man City, Liverpool, Chelsea, Man United, Spurs et al. Captain lazima awe mkongwe haswa katika timu husika, mtu mwenye uchungu na timu, mtu asiye na wazo la kuondoka, mtu mzima mwenye akili iliyotulia. Arsenane mchezaji ana misimu miwili tayari anakuwa captain..BREAKING: Granit Xhaka has been replaced by Pierre-Emerick Aubameyang as Arsenal captain.




Kila siku we unalialia tuNgoja tuendelee kupata haya matokeo naapa Mimi Mungu yupo game ya Leicester city hatutashinda hatutashinda kama kocha atakuwa ni Unai naapa hatutashinda
Hii statement nliitoa jmosi na bado narudia tutarudi na matusi makubwa humu Jumamosi huyu alitakiwa akitoka ureno anarudi spain direct na sio London
Hahaha aaFutuhi ni alhamisi mkuu,leo ni USIKU WA ULAYA