Ahaaaa ahaaaa jamaa haaminiki. Wachezaji hawamuelewi mwisho wa siku wataacha kumsikiliza.Nimecheka sana....View attachment 1255700
Kwani mechi ni leo mkuu?Nimeishajisogeza karibu na tv
sofascore hwapo sahihi ,mfumo ni 3-4-2-1.. niles n KT n mawing back leo ,mbele pepe ,saka n martinel.. mabeki sokratis ,holding n mustafi.. viung wakati wawil n willock n caballos.Kikosi cha leoView attachment 1255771
Mechi inaendelea mkuuKwani mechi ni leo mkuu?


Nimecheka sana....View attachment 1255700
Huku Futuhi hatuna changamoto napo. Tushavuka hatua ya makundi.Nyie jamaa badala ya kujadili mechi ya Futuhi mnakaa kujadili mechi ya Weekend!
Huku Futuhi hatuna changamoto napo. Tushavuka hatua ya makundi.
Futuhi ni alhamisi mkuu,leo ni USIKU WA ULAYANyie jamaa badala ya kujadili mechi ya Futuhi mnakaa kujadili mechi ya Weekend!