jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,881
- 7,669
Hahahaha 😅😂🤣Mzee wa Gud Ebening
Hahahaha 😅😂🤣Mzee wa Gud Ebening
Afadhali aende tu hukoMORINYO anaelekea BAYERN
Mkuu nimeskia hizo taarifa, Kama tusipoingia top 4 wanataka kuondoka.Hizi story kwamba Auba na Laca wanagoma ku sign new contract, sababu kubwa inayosemekana ni kwamba hawaoni Arsenal ikishiriki mashindano makubwa kwa siku za karibuni kama vile Uefa, je kuna ukweli wowote katika hili...? Will jr
Sasa si wakomae ili timu iingie top 4 au inajipeleka yenyeweMkuu nimeskia hizo taarifa, Kama tusipoingia top 4 wanataka kuondoka.