Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Nimepata tetesi Unai sacked
Nataka vyote mkuu, kucheza mpira wenye identity na kupata matokeo mazuri.Sasa wewe unataka Identity au Matokeo mazuri?






Hii tetesi umeipata wapi mkuu!.. Tuombe iwe kweli!..Nimepata tetesi Unai sacked
Leo ni siku ya kuzaliwa huyu mwendaazimu unaiView attachment 1253770
Anakera sana na jeuri zake mkuuBadala ya kumtakia Heri ya Siku ya kuzaliwa umeamua kumtusi?
Leicester hawawezi kutuangusha mkuuArsenal football chief Raul Sanllehi has been spotted in a dinner meeting with Jose Mourinho.
The Times says Mourinho and Sanllehi had dinner together, with the Portuguese boss said to have impressed with his plans for their squad.
It is claimed Unai Emery has just one or two games remaining to save his job as club bosses seriously consider a move ahead of the November international break.



Vipi kuhusu Ndidi wa leicester city mkuu, Alitokea Genk.Arsenal ingekuwa na mmliki mwenye akili wangemuuza Xhaka wakamnunua Decoure wa watford, ni kiungo mzuri sana
Mkuu kwa mtazamo wako aisee, unadhani Nuno atatufaa maana naona km ni mzuri ila inaweza kuwa kwa timu ndogo tu.Mtindo wake wa kupakia basi ndo tatizo kubwa la Mourinho.
Kocha mzuri ni huyu Dr Nuno wa Wolves.
Anatafutwa kocha mwenye uzoefu na ligi ya Uingereza.
Makombe yote alipata huyo Wenger miaka yote 20+ Mou kapata ndani ya miaka 5.Hujui mpira mzee ni bora ukae kimya, we ulitaka awe na mangapi? nenda na wewe tuone utatoka na mangapi.


You don’t know what you are writing, rubbish
huyu ni roho ya Leicester kwa hiyo na bei yake imesimamaVipi kuhusu Ndidi wa leicester city mkuu, Alitokea Genk.
Wanazingua, uropa league mbona nalo ni kombe kubwa,waache tamaa.Hizi story kwamba Auba na Laca wanagoma ku sign new contract, sababu kubwa inayosemekana ni kwamba hawaoni Arsenal ikishiriki mashindano makubwa kwa siku za karibuni kama vile Uefa, je kuna ukweli wowote katika hili...? Will jr