Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni lini mashabiki wa asernal wakawa na influence ya kumfukuzisha kocha ? Ilo sahau endeleeni kuisuport timu haya ni mapito tuu
 
Breaking News: Arsenal kumfukuza kazi Unai Emery ikishindwa kuifunga Leicester jumamosi ijayo.

Jose Mourinho huenda akateuliwa kocha mpya.

Vikao vimekuwa vikifanywa kimyakimya.

Ikishindikana kumpata Mourinho Arsenal itaivamia Wolverhampton Wanderers kumkwapua meneja wao Dr Nuno Santos ambae ana shahada ya udaktari wa falsafa katika michezo.


Hiyo ni baada ya kupoteza tena point mbili leo kwa Wolverhampton

Mengine nitarejea baadae..
 
Mi siku hizi hata mechi za Arsenal siangalii,nasubiria matokeo tu,labda mpaka ntakaposikia Unai kaondoka...
 
Kwa kumfunga Leicester hapo kashafukuzwa tayari.
 
Siku hiyo ntakuwa shabiki wa leicester city, kibanda umiza mapema sana
 
Kila la kheri Leicester ..japo mimi nitakuwa Arsenal...tunataka nafasi ya tatu pale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…