wewe nilikwambia timu yako kushinda game 3 mfululizo huwezi (Draw,Win,Loose).Haya kipo wapi mnakuja kutupigia kelele,mnasahau timu yenu kama saa mbovu,leo imepoteza majira.
Ngoja tuendelee kupata haya matokeo naapa Mimi Mungu yupo game ya Leicester city hatutashinda hatutashinda kama kocha atakuwa ni Unai naapa hatutashinda