MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,142
- 13,281
Unadhani Rahisi??MKO KIMYA SANA
wana ARSENAL msiogope mechi ya leo, Hata Daudi alimuua goliathi.
Mbinu za leo msipark basi, kamateni kiungo ya liverpool, zuia wale madogo liver pool wa kulia na koshoto wasimwage maji.
Sasa ni jukumu la kocha kuwapanga wachezaji watakaosahihisha makosa ya mechi iliyopita.
Kilalaheri majirani zetu.