Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Our lineup
Matokeo yapi unayapenda mkuu ..kupigwa pigwa ovyo ...
Angalia leo tunamnyoa manure kwa chupa...
wale manure wana kelele sana , kushinda game moja tu kelele kibao, funga midomo wale
ila ukipigwa naomba univumilie ntakuja kukucheka kidogo 
maana mimi na wewe majirani na watani,Kikosi kizuri but huyo willock na Niles angewatia benchi akaweka ceballos na lacazetteOur lineupView attachment 1249353
Tumia mobdroAny link for this game please![]()
Baada ya kelele nyingi Ozil amekumbukwa..Our lineupView attachment 1249353
Go to Hensgoal.com kuna livestreams za kila mechiAny link for this game please![]()
Hajakumbukwa ila wamemchagulia mech za kucheza ni carabao ,Baada ya kelele nyingi Ozil amekumbukwa..
Mimi nasubiri mechi ya Wolves nijue kama Emery ni mtu wa kubadilka au tumepigwa.
Mobdro nzito sana... Tumia Hesgoal.com nyepesi sana.Tumia mobdro
Any link for this game please![]()
Lipia iptv ya masa 24

