Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji419]EMERY ANATAKA KUTUAMINISHA NINI KUHUSU TORREIRA KWAMBA NAE HAFIT MIFUMO YAKE[emoji848][emoji848][emoji848]
Football tunakitu tunahita versatility huu ni uwezo wa mchezaji kutumika zaidi ya nafasi moja kwa ufanisi mkubwa emery akitaka kutuamisha torreira ni attacking minded player pindi anapo mpa nafasi kuingia uwanjani
Akipenda tumia xhaka na matteo kama double pivot pengine akitumia xhaka kama DM peke yake na ukweli ni kwamba hapa hakuna mkabaji
Ndio maana mara nyingi akikaba mateo au xhaka utaona faul hawa ni attacking minded players ambao emery anataka kutuaminisha ni wakabaji
Ndani ya falsafa yake ya ukabaji kitu inayo mnyima nafasi kabisa torreira lakini hakuna usahihi juu ya hili team ambazo utakuta zinatumia attacking minded players wote apo CM
Basi jua team hiyo inadominate mchezo kwa kiasi kikubwa kutotoa nafasi kwa mpinzani kucheza zaidi je sisi tupo hivi la asha tunakaba mda mwingi team inajitaji mkabaji halisi kulinda backline
Nae ni torreira[emoji341]
We are the arsenal