Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Granit Xhaka tells Arsenal fans to ‘f**k off’ after getting booed off v Crystal Palace
Emirate imechanganyikiwa
Alexandre Lacazette ‘likes’ Instagram post telling Unai Emery and Granit Xhaka to leave Arsenal

Jamaa kavua tshirt yake akawajibu mashababiki kwa matusi huku akipitia kwenye njia ya kuelekea dressing ropom. Hayo yalitokea baada ya kuzomewa sijui kama ataendelea kuibeba jahazi tena. Arsenal mna kazi majirani zangu wa London

The captain 😶 pic.twitter.com/iXAo7NWMpc— Donnie Kwak (@KwakaFlocka) October 27, 2019 WOOWWWWW. I haven’t seen anything like this before. This is a COMPLETE breakdown in the relationship between Xhaka & the fans. Have to say it, absolutely out of order by the fans. Xhaka doesn’t deserve that. pic.twitter.com/pJhiPLjCES— Moh Haider (@ArsenalMoh8) October 27, 2019

Arsenal consider stripping Granit Xhaka of captaincy after he told fans to ‘f*** off’
 
EMERY NI TATIZO KUBWA NA SUGU

Katika post zangu huko nyuma niliainisha matatizo ya Emery yanayoicost Arsenal

1.Hana kikosi cha kwanza

2 .Hajui kupanga kikosi

3.Anawapanga wachezaji out of natural position

4.kila mechi haijulikan atakuja na mfumo UPI, Leo atakuja na 4-3-3 kesho 4-3-1-2,keshokutwa 4-2-3-1

5.Ana poor tactical

Mechi ya Leo dhidi ya C.palace Kaja na Tatizo namba 3 na 1

Katikati kaja na Gunduz ,xhaka huku namba 10 akianza ceballos

Kumbuka hawa typically, ni namba 8 au Central midfield

Kwahiyo automatically Akawa ameziua namba 6 na namba 10 maana timu itakosa nguvu kwenye eneo la Ukabaji (DM) na eneo la Namba 10 (Attacking MD)

Tulichoshuhudia Leo ni Namba 10 kukosa ubunifu, na Wale WA katikati Xhaka na Gunduz kukosa balance ,

Combination ya Xhaka & Gunduz haijawahi kuleta impact hata siku 1 ,

Yote haya yanafanyika huku nje kuna Lucas toreira ambaye ni namba 6 halis na Ozil namba 10 halisi

KWA HAPA KOCHA HATUNA ILA TUNA MBABAISHAJI

KWA MWENDO HUU HAWEZ KUFIKA X MASS

Upo sahihi mkuu. Kama madhaifu yetu yapo wazi kiasi hiki what's wrong with Emery?

Au anafanya kusudi. Hii ni mechi ya 10 anarudia the same mistakes.
 
Kaka usiongee hivi yaani napata hasira Kali sana
 
Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.

Mimi humu napata comments za akina Aaron, yako na wengine wa Arsenal.

Wapiga kelele wala husumbuki nao. Sababu hata hujui kama wamepost.
Mkuu kumuweka mtu kwenye ignore list ni ujinga tu.
 
Upo sahihi mkuu. Kama madhaifu yetu yapo wazi kiasi hiki what's wrong with Emery?

Au anafanya kusudi. Hii ni mechi ya 10 anarudia the same mistakes.
Huyu jamaa ana bahati sana, sijui PSG na Arsenal waliona nini kwake.!!
 
Sami Mokbel understands Emery is facing difficulties in totally convincing his player of his methods. Sources claim there is often confusion from members of the playing staff over Emery's instructions on a day-to-day basis at the training ground and during matches.

Sami Mokbel: There is also a concern among the squad that Emery's tactics have severely stifled a team that was once famed for its creativity.
 
Despite what Ornstein and Telegraph have reported, there is an international break coming up in a couple of weeks. I feel these next 2 PL games are Unai's last chances for redemption. Failure means club have 10-12 days to help Ljungberg set his team OR look at someone external.
 
What next for Granit Xhaka?

The Arsenal captain was called in for a meeting with Unai Emery and Edu today

Full details from @charles_watts
 
Kwel Mungu si mzee mkumba leo hii AARON hazungumziii chelsea kushika namb ya 15 au kushuka daraja baada ya mechi ya 10? Afadhar yuko bize akipambana kumfukuzisha kocha utadhan yy anafamilia

Aaroon tafadhali njoo unaitwa utoe neno
 
Back
Top Bottom