Wewe wasema na ni mtizamo wako ,ila MIMI KAMA SHABIKI WA ARSENAL naamini timu yangu ina kila kitu.
Unasemaje DullyJr sikusikii ndugu yanguView attachment 1246720
Hivi vitimu bwana, wanamzomea nahodha wao. Nahodha nae anawajibu kwa dharau,na anavua jezi na kusepa. Pogba pamoja na kutukanwa na mashabiki hajawahi kufanya jambo kama hili. Uzi wa MUFC una heshimika sana. |
Ndo matokeo mnayoyastahili. Kwani mmesahau nyie ni arsenane wafuata upepoNaona vigagula mmekuja kuwanga ,
Tupo pamoja kifupi matokeo haya nayapenda
Huna maajabu wewe,timu lako lenyewe tia maji tia maji kama gari la mkaa breki shamba ,breki gerejiWalitamba sana hawa na comred kipepe wao watu tulikuwa tunawapimia wateleze tulete picha
Leo tunashinda, maturubai kaweke kwa man.u kule
Japo kocha ovyo Leo tunashinda mapema tu
Wewe upo nafasi ya ngapiNyie wajinga kweli. Mngekuwa na kilakitu simngekuwa nafasi za juu huko?
Wewe ndio mjinga kucoment kwenye timu usiyokuhusu,pilipili ya shamba inakuwashia nini,SISI WENYE TIMU YETU ndio tunaojua timu yetu ina kila kitu sasa ww ni swala lako ukubali au ukatae.Nyie wajinga kweli. Mngekuwa na kilakitu simngekuwa nafasi za juu huko?
Kwa hio ana u kaptain mara mbili? Uswisi na Arsenal| #AFC
Granit Xhaka is our NEW permanent captain with vice captaincy to be finalised between Lacazette and Aubameyang. Players were consulted before final decision. [@bbcsport_david]afcSource™ on Twitter
Hivi vitimu bwana, wanamzomea nahodha wao. Nahodha nae anawajibu kwa dharau,na anavua jezi na kusepa. Pogba pamoja na kutukanwa na mashabiki hajawahi kufanya jambo kama hili.
Uzi wa MUFC una heshimika sana.
Wewe upo nafasi ya ngapi
Duh basi timu ishavunjikavunjikaArsenal striker Alexandre Lacazette, who started the game, raised eyebrows by 'liking' the post calling for arsenal to sack Unai Emery after Crystal palace draw.
View attachment 1246810
Tukipigwa itakuwa vizuri ili mgt itoe maamuzi.Sipati picha na Liverpool j5 tano,yaani tunapusuka vizuri timu ishatawanyika haina unit.