Hakuna mkuu, huyu kama atakaa sana mwisho wake msimu huu.Hata hivyo Arsenal bado sana na huyu mbwiga Unai.
Poa mkuuMkuu achana naye huyo, usipoteza nguvu zako aisee![]()

yaani preshaaaHakuna mkuu, huyu kama atakaa sana mwisho wake msimu huu.
Za angle ya kupiga!.. Kweli Auba alivyipiga aka-score, nikabaki nashangaa sana maana Auba si mzuri sana kwenye free Kicks. Na toka siku hiyo nijaanza kumwamini sana huyu Pepe.Pepe Joins Top Players in History To Have Scored 2 Free Kicks In Only 1 game
1.Cristiano Ronaldo=Champions League
2.Wayne Rooney=Premier League
3.Lionel Messi=La Liga
4.Nicolas Pepe=Europa LeagueView attachment 1243976
Kipaji cha pepe katika kupiga freekick nilikiona mech za AFCON alipiga faulo mbili zikala nguzo , tokea hapo namuheshimu sana kwenye fauloHuyu jamaa ana jichi la tatu linapokuja suala la kupiga free kick. Kuna siku Auba alikuwa anataja kupiga free kick, jamaa alisogea akamnong'oneza akamuelekeZa angle ya kupiga!.. Kweli Auba alivyipiga aka-score, nikabaki nashangaa sana maana Auba si mzuri sana kwenye free Kicks. Na toka siku hiyo nijaanza kumwamini sana huyu Pepe.
Jamaa kajitahidi, hasa goli la pili alionesha ufundi wa kupiga free balls ila messi ni hatari mze baba, yule jamaa sijui ana jicho gani kwenye haya mamboKipaji cha pepe katika kupiga freekick nilikiona mech za AFCON alipiga faulo mbili zikala nguzo , tokea hapo namuheshimu sana kwenye faulo
Na yeye mwenyewe anasema idol wake ni messi



Hata ya shefflied alicheza vzr kuliko woteGuys let's not carried away na free kicks mbili za Pepe. Tho kusema ukweli Pepe kacheza vizuri hii game na Vitoria na iliyopita ya Sheffield.
Ama moto ndiyo umewaka? Tusubiri na kuona.
Moto ndio umewaka hivyo na kwa uchezaji wake akimprove na kuscore goals basi the new King in premier league is arrived.Guys let's not carried away na free kicks mbili za Pepe. Tho kusema ukweli Pepe kacheza vizuri hii game na Vitoria na iliyopita ya Sheffield.
Ama moto ndiyo umewaka? Tusubiri na kuona.




Huyu Pepe, Aubameyang na Lacazette wanaangushwa na kiungo kinachopangwa na Emery.Moto ndio umewaka hivyo na kwa uchezaji wake akimprove na kuscore goals basi the new King in premier league is arrived.![]()
Cazorla anazeeka na utamu wake,jana kapiga bonge la goli.
Zaha hastahili kucheza timu kubwa.Ishu ya Zaha kuja Arsenal kama ikitokea kweli, kwa Mourinho anaweza kuwachezesha Laca, Auba, Pepe na Zaha kwa pamoja. Maana kuna siku nlimskia Mou anasema Pepe anaweza kucheza ndani kidogo sio pembeni na akafanya vizuri, ila Kuja kwa Zaha thn kocha ni Unai Emery hiyo itakuwa ni death warrant kwa lacazette.