Kuna jambo nimeli note , bodi ya Arsenal ni mpya kwa karibu 90% , na toka wameingia wamekuwa wakifanya mambo kwa siri sana
Rejea swala la kuvujisha taarifa kuwa Arsenal itatumia bajeti ya £45m .
Kwasasa Inaonesha dalili za Awali bodi haimuelewi emery , Kuanzia Edu ambaye amekuwa karibu sana na mashabiki kila mechi. Josh ambaye pia kulikuwepo kauli hadharan kuwa bado hamuamini emery.
Siku chache zilizopita David ornstein alisema Iwapo Emery atakuwa sacked , Caretaker ni Freddie ,
Bodies mpya imekuwa ikimtumia wakala Mendez katika dili mbalimbali, Mendez ni wakala wa Mourinho pia ,
Kitendo cha Jana kuonekana kwa mou akiwa na Raul sanheil , ni dhahiri Bodi ya Arsenal bado inamtafutia angle Ya kumfukuza emery .
Na yawezekana wameshaandaa list ya makocha wakumrithi emery ,
View attachment 1244207