Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unavyoongea utadhani Arsenal ina wachezaji wa maana, utadhani Torreira ni kiungo wa maana, utadhani Mustafi, Holding na Luiz ni mabeki wa maana

Matatizo ya United yatakwisha kabla ya Arsenal, sababu always Tajiri anaweza kumaliza matatizo yake mapema kuliko masikini asiye na resources za kutosha

PALE EMIRATES MAGOLI YANAINGIA, MASHABIKI WANASHANGILIA KWA NGUVU ZOTE, HALAFU KUNA MTU YUPO TANZANIA ANAJIFARIJI NGOJA TUPIGWE ILI KOCHA AFUKUZWE (Njia bora sana ya kujifariji)
Kwahiyo Jones,Maguire,Rojo,Tuanzebe,Young ndio mabeki wa maana????mimi nakwambia bora atucheke mtu leicester city ila sio wewe wa Man utd....

Pipa na mfuniko
 
Umeona wapi Tukishinda wanasema KOCHA abaki?

Timu hata ikishinda emery analaumiwa kwa kucheza ovyo ,

Na uongoz wa klabu upo makini ndio maana amepewa mech na palace kabla hajajadiliwa kutimuliwa .

Hiyo kusema tukishinda tunamsifia kocha naisikia kwako

Hii ni kauli ya bellerin captain, Anasema hata kama wanafanya makosa bado mpira tunaocheza hauridhishi

Bellerín: ‘I think we have to keep the ball better. That’s our trademark, we want to play football. Sometimes you make mistakes but doesn’t mean you stop playing that way. We’re Arsenal, we have a style of play, it’s in our DNA and we want to play like that’.
Mkuu kuna wengine ni lazima wacomment tu nao wajulikane kama wapo...

UNAI OUT
 
Kwahiyo Jones,Maguire,Rojo,Tuanzebe,Young ndio mabeki wa maana????mimi nakwambia bora atucheke mtu leicester city ila sio wewe wa Man utd....

Pipa na mfuniko
Yaan hawa kuanzia beki had forward sion mchezaji wa maana kulinganisha na Arsenal ,

Na still kila dirisha wanatumia hela kuliko timu zote ,

Sisi msimu huu Tumeanza kutumia £100m+ kwenye usajiri unaona kabisa kuna quality players zimekuja na zitakuja

Sasa Eti Maguire ,wanaona ni beki wa maana kuliko mabeki wote EPL ,
 
Mkuu kuna wengine ni lazima wacomment tu nao wajulikane kama wapo...

UNAI OUT
Kwa kweli kuna watu wanashangaza sana

Swala la emery limeanzia kwa wachezaji wenyewe hawamuelewi ,

Alan Smith alithibitisha hili

Josh kreonke pia hana iman na emery,

Malegend karibu wote ,

Mashabiki lugha ni 1

Kinachomlinda ni kule hafungwi kwa mtiririko , bodi inakosa pakumfukuzia,

Maana tayari hadi caretaker ameshaandaliwa ni Freddie ,tayari wachezaji zaid ya watano wameshajitokeza hadharan wakisema wanamuelewa sana Freddie

Sasa kuna watu wanaropoka tu

Jana tu mabango yalikuwepo ya kutosha

MTU anasema tunaomkataa emery ni sis huku tu ....UK hakuna ....
IMG_20191024_223248.jpeg
 
Hapana. Chief tangu msimu huu uanze hakuna mechi ambayo Arsenal ilifikisha idadi ya magoli 3 halafu ikafungwa hiyo mechi.

Luiz ni Chelsea reject? Mchezaji akiambiwa hatochezeshwa akaamua kwenda sehemu atakayopata nafasi siyo jambo geni. Nketiah hayupo Arsenal kwa ajili hiyo, Welbeck ameondoka Arsenal kwa ajili hiyo, Sturridge ametoka Liver kwa ajili hiyo, Sanchez hayupo Man U kwa ajili hiyo.

Kusema nyinyi mna defence ngumu kuizidi Arsenal yaweza kua upo sawa. Ila sisi tumeshacheza na nyinyi huku CMF akicheza kama RB mara 2, mara ya kwanza ikawa sare, mara ya pili mkapasuka. Na kipindi hicho mlikua na Lukaku, Martial, Sanchez na Rashford. Msimu huu tumekutana na imekua sare.

Tumepata sare huku beki unayoisema bora ikikimbia kumkaba Aubameyang, wakiongozwa na beki ghali, Le Captain Maguire

Kusema Man U haina striker sidhani. Kwakua wote majibu ya Ole kwamba ana Martial, Lingard na Rashford tuliyasikia na sasa hivi kaongezeka Greenwood. So strikers mnao.

Binafsi naona tulichozidiwa na Man U siyo nafasi za wachezaji beki wako Wan Bisaka tangu atue Man U cross zake ni komedi, sawasawa na Ashley Young, Bellerin na Tierney they do better. Sina uhakika ila nafikiri tangu msimu uanze hakuna cross wala faulo iliyopigwa na beki wenu wala Ashley Young ikawa goli.

Labda beki ya Arsenal imezidiwa na ya Man U kwa gharama ya kipesa.
Najua ninachoongea, ila kwa kuwa hakikupendezi unajiaminisha kwamba ni boko

Kinachonichekesha ni excuse mnayotumia mashabiki wa Arsenal ku justify kufanya kwenu vibaya. Mara kocha, Mara sijui Guendouzi....... Hahahaa, kuhusu Guendouzi wote mlikuwa hamtaki kumuona akianza lakini Unai akaendelea kumuamini na sasa naona wote mnamuamini

Arsenal kamzidi United kwenye ushambuliaji tu, hamna beki pale. Luiz ni Chelsea reject, hao wengine hata Burnley hawapati namba. Arsenal ana moja kati ya record mbovu za ulinzi pale EPL, nakumbuka Liver alimlamba 4 sijui 5.

Kwahiyo United strength yake ni defense na Arsenal ni forward ndio maana United anaweza kufunga goli moja na akashinda mechi, ila Arsenal anaweza kupata goli 3 na bado akapoteza mechi

Pia, usiogope kuhusu United maana January ana room ya kuimarisha timu ikiwemo safu ya ushambuliaji as long as hela ipo (Ndio uzuri wa kushabikia timu zenye hela)

Kutumia nguvu kusema Arsenal atamaliza juu ya United ni kupoteza muda, maana na mimi naweza kutumia nguvu kusema United atamaliza juu ya Arsenal. Nakumbuka uliwatabiria Chelsea vibaya na sasa hivi utabiri wako unaelekea kukugeuka, hivyo hata huu utabiri juu ya United unaweza kukugeuka

Baki na ushauri wangu, muda ndio jibu la nani atakuwa zaidi msimu huu kati ya United na Arsenal
 
Hapana. Chief tangu msimu huu uanze hakuna mechi ambayo Arsenal ilifikisha idadi ya magoli 3 halafu ikafungwa hiyo mechi.

Luiz ni Chelsea reject? Mchezaji akiambiwa hatochezeshwa akaamua kwenda sehemu atakayopata nafasi siyo jambo geni. Nketiah hayupo Arsenal kwa ajili hiyo, Welbeck ameondoka Arsenal kwa ajili hiyo, Sturridge ametoka Liver kwa ajili hiyo, Sanchez hayupo Man U kwa ajili hiyo.

Kusema nyinyi mna defence ngumu kuizidi Arsenal yaweza kua upo sawa. Ila sisi tumeshacheza na nyinyi huku CMF akicheza kama RB mara 2, mara ya kwanza ikawa sare, mara ya pili mkapasuka. Na kipindi hicho mlikua na Lukaku, Martial, Sanchez na Rashford. Msimu huu tumekutana na imekua sare.

Tumepata sare huku beki unayoisema bora ikikimbia kumkaba Aubameyang, wakiongozwa na beki ghali, Le Captain Maguire

Kusema Man U haina striker sidhani. Kwakua wote majibu ya Ole kwamba ana Martial, Lingard na Rashford tuliyasikia na sasa hivi kaongezeka Greenwood. So strikers mnao.

Binafsi naona tulichozidiwa na Man U siyo nafasi za wachezaji beki wako Wan Bisaka tangu atue Man U cross zake ni komedi, sawasawa na Ashley Young, Bellerin na Tierney they do better. Sina uhakika ila nafikiri tangu msimu uanze hakuna cross wala faulo iliyopigwa na beki wenu wala Ashley Young ikawa goli.

Labda beki ya Arsenal imezidiwa na ya Man U kwa gharama ya kipesa.
Mkuu umeongea vzr sana

Unajua Raul kamwambia emery tumekupa strong squad , hakuna excuse

Jana RVP kasema kosa la emery ni kushindwa kuiunganisha timu

Sasa hilo ni tatizo la kocha ,

Angalia KT mech 2 assist 3 tayari lkn kocha anampanga Kola

Belle karud juz tu ana assist 1

Huyo anayesema wana beki bora na imara nasikia huyo bisaka toka afike hana cha assist zaid ya tackling

Hivi kwa kiungo cha Ceballos lt11 xhaka ,Mateo kama kocha akipanga vzr tungekuwa wapi, cha ajabu anakomaa na kale katoto willock
 
Arsenal eye cut price deal for Upamecano

According to The Sun, Arsenal are ready to make a £40m bid to sign RB Leipzig defender Dayot Upamecano.

The Frenchman was the subject of interest from the Gunners in the summer but Arsenal ended up signing David Luiz from Chelsea.

But with Upamecano’s contract running out in 18 months, Arsenal are reportedly keen to snap up the defender either in January or the summer.

IMG_20191017_193356.jpeg
 
Yaan hawa kuanzia beki had forward sion mchezaji wa maana kulinganisha na Arsenal ,

Na still kila dirisha wanatumia hela kuliko timu zote ,

Sisi msimu huu Tumeanza kutumia £100m+ kwenye usajiri unaona kabisa kuna quality players zimekuja na zitakuja

Sasa Eti Maguire ,wanaona ni beki wa maana kuliko mabeki wote EPL ,
Jana Maguire kalambishwa mchanga dadeq ila sasa yule dogo ili ashinde lile goli alihitaji ubongo wa Saka yeye kautumia wa Rashford.

Maguire alilala kama mwanafunzi kalala kachapwa viboko halafu anasikilizia uchungu.
 
Real Madrid reject £26m Arsenal bid

According to El Desmarque, Arsenal have made a £26m bid to sign Dani Ceballos on a permanent basis.

But the offer was rejected by Real Madrid.

Los Blancos are said to want a minimum of £30m (€35m) for the midfielder, whose Bernabeu contract expires in June 2023.

IMG_20191020_214650.jpeg
 
Jana Maguire kalambishwa mchanga dadeq ila sasa yule dogo ili ashinde lile goli alihitaji ubongo wa Saka yeye kautumia wa Rashford.

Maguire alilala kama mwanafunzi kalala kachapwa viboko halafu anasikilizia uchungu.
Hahaaaaa huyo beki sijawahi kumuelewa huwa ni mzito sana , sijui wanamsifiaga nn

Ndio maana hata kitakwimu anazidiwa na mustafi

Tatizo mustafi alikuwa na errors kibao ndio tofauti yao

Ukifatilia vzr mustafi kitakwimu kamzidi vingi,

Kiburi cha emery mpaka sasa hajaanza kuwatumia Belle holding luiz KT ndio maana waropokaji wanaona beki ni mbovu
 
Mkuu umeongea vzr sana

Unajua Raul kamwambia emery tumekupa strong squad , hakuna excuse

Jana RVP kasema kosa la emery ni kushindwa kuiunganisha timu

Sasa hilo ni tatizo la kocha ,

Angalia KT mech 2 assist 3 tayari lkn kocha anampanga Kola

Belle karud juz tu ana assist 1

Huyo anayesema wana beki bora na imara nasikia huyo bisaka toka afike hana cha assist zaid ya tackling

Hivi kwa kiungo cha Ceballos lt11 xhaka ,Mateo kama kocha akipanga vzr tungekuwa wapi, cha ajabu anakomaa na kale katoto willock
Mpaka muda huu ilitakiwa mashabiki wa Man U wawe washajua kua pesa siyo lazima ikuhakikishie mafanikio. Wamefanya spending kubwa EPL nzima wakiwa wamezidiwa na Man City tu ila hata hawapo nyuma ya Man City, big spender mwenzao.

Timu inalipa mishahara mikubwa kuliko hata Madrid ya Perez. Sasa hivi Madrid imeisha, na inaongoza kununua watu kwa bei kubwa (siyo kulipa, maana Man U wananunua watu kwa bei kubwa na wanawalipa mishahara mikubwa) Chelsea all that spending wakajikuta fainali na timu ambayo haikufanya spending ya maana.

Baada ya msimu huu labda Chelsea watajua kua kuwaamini academy pays off. Hilo somo liwafikie Man U pia maana yule CF wao shoga, Greenwood, anajitahidi kuscore kuliko wapiga penati Tashford na Martial.

Pesa siyo kihakikisho cha mafanikio kwenye mpira. Case study ni Man U. Hiyo January watatoa wapi striker anayejielewa? Ndiyo Mandzukic?
 
Actually Mustafi alikua na takwimu nzuri msimu uliopita kuliko Van Dijk. He is good. Ila akichezeshwa na kiungo mtepeto ambacho hakisapoti ulinzi lazima umuone jamaa nyanya.

Ndiyo maana nilisema kama kuna mtu analiwazia kombe aliwazie Carabao maana kikosi cha kule kinasapot beki na forwad.
Hahaaaaa huyo beki sijawahi kumuelewa huwa ni mzito sana , sijui wanamsifiaga nn

Ndio maana hata kitakwimu anazidiwa na mustafi

Tatizo mustafi alikuwa na errors kibao ndio tofauti yao

Ukifatilia vzr mustafi kitakwimu kamzidi vingi,

Kiburi cha emery mpaka sasa hajaanza kuwatumia Belle holding luiz KT ndio maana waropokaji wanaona beki ni mbovu
 
Wewe una wachezaji gani wa kuwazid Arsenal?

Unasema matatizo yenu yataisha , kwani mmeanza kuspend hela nyingi msimu huu?

Lakin still mna timu mbovu kuliko Burney

Unasema sisi huku tunataka timu ifungwe ila UK wanataka ishinde ,

Nikisema unatoa maboko huelewi

Wachezaji Wenyewe hawamuelewi kocha

Bellerín: ‘I think we have to keep the ball better. That’s our trademark, we want to play football. Sometimes you make mistakes but doesn’t mean you stop playing that way. We’re Arsenal, we have a style of play, it’s in our DNA and we want to play like that’.

Bodi ya timu haimuelewi

Mashabiki huko huko UK kila siku wanashinikiza Atimuliwe

Mtandao wa Goal.com ulitoa takwimu zaidi ya 70% mashabiki hawamuelewi

Nasubiri hiyo man u itakayotumia hela inyanyuke , kwani sion mchezaji wa maana japokuwa inaonesha ndio mmetumia hela nyingi, labda hujui hilo
Mkuu achana naye huyo, usipoteza nguvu zako aisee
 
Back
Top Bottom