Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Haya tusubiri hiyo January isije tokea ukawa bado mpo nafasi ya 20Najua ninachoongea, ila kwa kuwa hakikupendezi unajiaminisha kwamba ni boko
Kinachonichekesha ni excuse mnayotumia mashabiki wa Arsenal ku justify kufanya kwenu vibaya. Mara kocha, Mara sijui Guendouzi....... Hahahaa, kuhusu Guendouzi wote mlikuwa hamtaki kumuona akianza lakini Unai akaendelea kumuamini na sasa naona wote mnamuamini
Arsenal kamzidi United kwenye ushambuliaji tu, hamna beki pale. Luiz ni Chelsea reject, hao wengine hata Burnley hawapati namba. Arsenal ana moja kati ya record mbovu za ulinzi pale EPL, nakumbuka Liver alimlamba 4 sijui 5.
Kwahiyo United strength yake ni defense na Arsenal ni forward ndio maana United anaweza kufunga goli moja na akashinda mechi, ila Arsenal anaweza kupata goli 3 na bado akapoteza mechi
Pia, usiogope kuhusu United maana January ana room ya kuimarisha timu ikiwemo safu ya ushambuliaji as long as hela ipo (Ndio uzuri wa kushabikia timu zenye hela)
Kutumia nguvu kusema Arsenal atamaliza juu ya United ni kupoteza muda, maana na mimi naweza kutumia nguvu kusema United atamaliza juu ya Arsenal. Nakumbuka uliwatabiria Chelsea vibaya na sasa hivi utabiri wako unaelekea kukugeuka, hivyo hata huu utabiri juu ya United unaweza kukugeuka
Baki na ushauri wangu, muda ndio jibu la nani atakuwa zaidi msimu huu kati ya United na Arsenal
Ndio maana nilikwambia maswala ya arsenal yaache au uliza
Wanaomkataa Mateo wana sababu na ni za msingi , Mateo akicheza na Xhaka kiungo hakijawahi kuwa stable , japokuwa Mateo ni mzuri kudrive team
Kwahiyo usichanganye mambo ,
Na hizi hoja ni kuanzia kwa watu wakaribu wa arsenal hadi mashabiki , maana anamchezesha Xhaka as DM na kumuacha lt11 au kumchezesha out of position , hivo kufanya comb ya Mateo isiwe bora , kwahiyo waliomkataa Mateo wapo sahihi ,wakihitaji bas awachezeshe LT as DM Na xhaka as CM maana ilionesha ni comb nzuri .
Unasema January mnaleta striker , hatushangai maana hamjaanza Leo , hata hili dirisha simmetumia hela nyingi kuliko timu zote ,still hakuna mabadiliko, unaposema beki za arsenal mbovu sijajua una kigezo gani, kwanza unatakiwa uelewe karibu mabeki wanne hawajacheza hadi sasa na ambao ni first eleven ,na takwimu zinaniambia mmeshapigwa goli 9 hadi sasa , na mna beki imara , lkn cha ajabu bado tupo juu yenu wenye beki imara , ila mpo nafas ya 15 sijui .
Mm nitakukumbusha siku ,man u hii imalize juu yetu itakuwa kichekesho , utabiri wangu kwa Chelsea ni ule ule wala sijaubadilisha , kama utabadirika ni hiki kinachotokea kwa man u yupo nafas za 15 .
Manchester United Goals after their 4:0 win against Chelsea
1 vs wolves
1 vs Crystal Palace
1 vs Southampton
1 vs Leicester
1 vs Astana
0 West Ham
1 Rochdale
1 Arsenal
0 AZ Alkmaar
0 New Castle
1 Liverpool
1 FZ Partizan
Binary Results.

Ole in???
Kwa hali hii Acha niweke akiba ya maneno
Nitakukumbusha Siku moja ,maana UNAI subiri January mumlete veteran mzdukich

sawa tuseme nini sisi ila bado Unai Emery binafsi simuelewei kabisa kwenye mbinu zake
kaikunja haswa
| #AFC


starts
goals
assist