Najua ninachoongea, ila kwa kuwa hakikupendezi unajiaminisha kwamba ni boko
Kinachonichekesha ni excuse mnayotumia mashabiki wa Arsenal ku justify kufanya kwenu vibaya. Mara kocha, Mara sijui Guendouzi....... Hahahaa, kuhusu Guendouzi wote mlikuwa hamtaki kumuona akianza lakini Unai akaendelea kumuamini na sasa naona wote mnamuamini
Arsenal kamzidi United kwenye ushambuliaji tu, hamna beki pale. Luiz ni Chelsea reject, hao wengine hata Burnley hawapati namba. Arsenal ana moja kati ya record mbovu za ulinzi pale EPL, nakumbuka Liver alimlamba 4 sijui 5.
Kwahiyo United strength yake ni defense na Arsenal ni forward ndio maana United anaweza kufunga goli moja na akashinda mechi, ila Arsenal anaweza kupata goli 3 na bado akapoteza mechi
Pia, usiogope kuhusu United maana January ana room ya kuimarisha timu ikiwemo safu ya ushambuliaji as long as hela ipo (Ndio uzuri wa kushabikia timu zenye hela)
Kutumia nguvu kusema Arsenal atamaliza juu ya United ni kupoteza muda, maana na mimi naweza kutumia nguvu kusema United atamaliza juu ya Arsenal. Nakumbuka uliwatabiria Chelsea vibaya na sasa hivi utabiri wako unaelekea kukugeuka, hivyo hata huu utabiri juu ya United unaweza kukugeuka
Baki na ushauri wangu, muda ndio jibu la nani atakuwa zaidi msimu huu kati ya United na Arsenal
Kama natoa maoni ni yale ninayokuwa nayajua ,siwez kutoa maon kwa kitu nisichokijua mkuu
Mm nimekushangaa kuongea kitu ambacho hukifahamu na ni Mara ya pili naona unatoa boko kama hilo
Sijajua unaongea kutukejeri au nikutokujua ,
Ndio maana nimekushauri kwanini usiulize ?
Maana matatizo ya Arsenal sio kuanza hao tu ,
Maana hata kuanza bado hawaanzishwi wote au wataanza ila out of position
Huwa nakuelewa sana unapochambua ,ila sijajua kwanini Unatoa boko kwenye swala hilo
Swala la Man kumaliza juu yetu hata nyingi mnajua haliwezekani ,
Tatizo lenu inajulikana hamna forward ,
Mechi mbili za Europa. Dakika 180. Manchester United wamepiga shuti moja tu lililolenga goli. Yes. 'Only one shoot on target'.
Epl game 10 point 10
ohoo Jesus christ [emoji2817] [emoji91][emoji91]
Tuweke Akiba ya maneno tusubiri mbelen