Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Siku emery anatimuliwa apigwe na viboko kabisa
Mkuu hujui kama wachezaji wa Arsenal wana mgomo, hawamtaki kocha?Nyie wazee mue na huluma bas watu tumetia mikeka yetu
HahaaaaaNyie wazee mue na huluma bas watu tumetia mikeka yetu
Tumepigwa la pili
Unabetia Arsenal hujui kuwa emery ana mabifu na wachezaji karibu wanne wa Arsenal ?Nyie wazee mue na huluma bas watu tumetia mikeka yetu





Wewe nae ndio walewale,litimu lako ni kundi la masela waliopewa jezi wavae....leo hii unatucheka sisi!!!?????Njia nzuri ya kujipa moyo, ni kuzuga unataka ufungwe ili kocha atimuliwe kumbe kimoyo moyo karoho kanauma unapofungwa
Siku za nyuma tumekuwa tukiaminishwa kwamba akicheza Laca, Tierney, Bellarin, Torreira lazima ushindi upatikane lakini leo naona ni yale yale![]()
Mmmh kweliHahaaaaa
FT: Arsenal 2 Vitoria 5
Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwann usiulize kuwa hao tunaotaka wacheze , ni wacheze kwenye mfumo gan , na wacheze na kina nan?Njia nzuri ya kujipa moyo, ni kuzuga unataka ufungwe ili kocha atimuliwe kumbe kimoyo moyo karoho kanauma unapofungwa
Siku za nyuma tumekuwa tukiaminishwa kwamba akicheza Laca, Tierney, Bellarin, Torreira lazima ushindi upatikane lakini leo naona ni yale yale![]()
Kwanini wamesawazisha haya machezaji majinga sana


we vuta subira kwenye EPL zipo za kutosha crystal palace, liverpool (carabao), wolves, leicester city, southmpton, norwich....
Jamaa anaongea pumba had nimeshangaa , matatizo ya Arsenal anadhan ni kupangwa hao tu, ukiangalia Leo namba 10 willock ,Wewe nae ndio walewale,litimu lako ni kundi la masela waliopewa jezi wavae....leo hii unatucheka sisi!!!?????
Mkuu mmekula 5 kweli hahahahahahahahahJamaa anaongea pumba had nimeshangaa , matatizo ya Arsenal anadhan ni kupangwa hao tu, ukiangalia Leo namba 10 willock ,
Bado setup ya timu ni mbovu
Ndio maana Raul kumwambia Emery , msimu huu wamempa Strong squad hivo watamuwajibisha
Hakuna asiyejua Arsenal tuna strong squad
Labda mtu alete ubishi