Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Mechi zimeisha leo, wanatrain kucheza nini
Mechi zimeisha leo, wanatrain kucheza nini
AaronBreaking News
: Sources have informed @TheArsenalTime1 that if #Emery loses his next game against @CPFC in a similar fashion to the previous defeat to @SheffieldUnited his job will be in serious jeopardy. The Board aren’t happy and will not hesitate to push the button. View attachment 1242150
Zipo katika mfumo wa sehemu sio asilimiaAaron
hizo odds sijazielewa!
Aroon unapoteza nguvu zako bure tu, watu ambao wana ona pepe ame flop n wale watu wasio na vision ao hawata kuelewa mpaka waanze kuona ana funga na ku assist mara kwa mara, na hyo siku ikfka watakavyo msifia kama sio wao, ukiwakumbusha watakugeuka hautaamn we kula zako good time tu achana nao ipo siku pepe mwenyew ata wa prove wrong, kwan wale Emery pga kaz wako wap?Pepe alicheza vizur sana game hiyo alikuwa anajituma anazunguka uwanja wote nilfurah sana kuona ameanza kurudisha kujiamin tutarajie kumuona pepe mwngine kila mechi anazd kuimarika
NAIMANI SOON EMERY ATATUACHIA TIMU YETU HAKUNA ANAYEMUELEWA
Roho inakuuma hapo htrheshimu jukwaa ili aisee..kama ni matusi peleka sehemu nyingine.mambo ya amber rutty yameingilia vipi?!
kuna video kati ya Ozil na Emery at Arsenal training appearing to have a frosty conversation went viral...bust up reported yesterday btn Ozil and unai during the morning training session, suggesting that we might not see Ozil today
Hiyo hapo chinikuna video kati ya Ozil na Emery at Arsenal training appearing to have a frosty conversation went viral...
Daaahkuna video kati ya Ozil na Emery at Arsenal training appearing to have a frosty conversation went viral...
Hapo mwanaume ni santo tu namkubali kocha wa wolves kapiga makocha wote wazoefu epl uwe kwako au kwake anachotaka atapata hata usajili wake wa watu wa kaziBreaking News
: Sources have informed @TheArsenalTime1 that if #Emery loses his next game against @CPFC in a similar fashion to the previous defeat to @SheffieldUnited his job will be in serious jeopardy. The Board aren’t happy and will not hesitate to push the button. View attachment 1242150
Tuambie ukwel kijana huyu huyu hazard alikuwa Chelsea anaweza kukosa goal Kama Hilo?Chelsea mungu anawaona
Naomba usini quote tena
Robert Pires is reunited with Freddie Ljungberg at London Colney. The Frenchman was sharing advice with Matteo Guendouzi as they made their way out onto the pitch.
Unai Emery now holding a lengthy huddle with his squad after a gulruelling presser.
Edu was also watching on at training today. 3/4s of a pretty decent midfield with him, Ljungberg and Pires.View attachment 1242344
Rubbish team with rubbish fans like you .


HahahahahahaEeeh dua zetu wana Arsenal wote Mechi ya Leo Tufungwe Tunaomba ujibu maombi yetu
Cha ajabu tutashinda 5-0
