Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Our next three fixtures

Crystal palace H
Wolves H
Leicester city A

How many points do you expect realistically?
 
Ozil amesema yupo Arsenal had 2021

Maana anajua atakayeanza kuondoka ni unai sio yeye
 
Our next three fixtures

Crystal palace H
Wolves H
Leicester city A

How many points do you expect realistically?
Kama kikosi kitakua wale wale nyuma wakina Kolasinac na Sokratis katikati Xhaka na Guendouz na Mbele Saka na Willock, tutavuna point moja tu.
 
Hapa jamaa ilikuaje hakufunga?
Nenda kaangalie why hakufunga

Na mpira ulikuwa kwenye kasi gani

All in all

Pepe ndiye mchezaji aliyecheza vzr sana hiyo game

Kocha bado ameishindwa timu , timu haitengenezi nafas za kutosha

Nashangaa mnaotumia hiyo nafas kumlaumu pepe , je akipata nafas nyingine?

Nicolas Pepe v Sheffield United (A):

72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles

A silver lining on a dark cloud of a perfomance.
IMG_20191021_225347.jpeg
 
Kaka mkubwa,unajua mtu unavyokuja ndio unavyopokewa......

Haiwezekani umekuja mchafu sisi tukukumbatie,tutakuonesha panapostahili ukae

In gunners we trust

UNAI OUT
Kuna watu wanavuta bangi sijui ,wanakwambia huyu kocha ni sahihi
 
From || Arsenal have told Madrid they're willing to pay €30m for Dani Ceballos, Madrid want closer to €35m. Deal may even be done in January.
IMG_20191020_214650.jpeg
 
Kukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.

Dunia inamtambua ubora wake ,

.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,

Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,

timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?

Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?

Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.

Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa ,

Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,

Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,

mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .

Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying

Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .

hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .

Nicolas Pepe v Sheffield United (A):

72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles

IMG-20191023-WA0002.jpeg
 
I dont understand why is it taking time before unai is not only expelled but banished from Emirates premises
 
Kukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.

Dunia inamtambua ubora wake ,

.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,

Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,

timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?

Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?

Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.

Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa ,

Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,

Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,

mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .

Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying

Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .

hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .

Nicolas Pepe v Sheffield United (A):

72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles

View attachment 1241599
Mkuu hii ni kwel au wameedit?
Anakosaje goli apo?
 
Watu hawaangaliagi player ratings!.. Mimi kiukweli bado nina matarajio makubwa toka kwa pepe. Tatizo ni kocha hajui kutengeneza mfumo unaoendana na aina ya uchezaji wa pepe... Huyu pepe msimu ujao atafanya mambo makubwa sana!.. Mimi kwa muda aliokaa nasi naridhika na kiwango anachokionyesha. Kwanza kiukweli hatushindi mechi sio kwa sababu ya Pepe bali ni kocha kupanga timu hovyo hasa viungo wa kati na beki
 
We've been Told that Bellerin, Holding, Tierney & Özil will play tomorrow against Vitoria Sporte Club. Nelson is still injured. #AFC
 
Watu hawaangaliagi player ratings!.. Mimi kiukweli bado nina matarajio makubwa toka kwa pepe. Tatizo ni kocha hajui kutengeneza mfumo unaoendana na aina ya uchezaji wa pepe... Huyu pepe msimu ujao atafanya mambo makubwa sana!.. Mimi kwa muda aliokaa nasi naridhika na kiwango anachokionyesha. Kwanza kiukweli hatushindi mechi sio kwa sababu ya Pepe bali ni kocha kupanga timu hovyo hasa viungo wa kati na beki
Pepe alicheza vizur sana game hiyo alikuwa anajituma anazunguka uwanja wote nilfurah sana kuona ameanza kurudisha kujiamin tutarajie kumuona pepe mwngine kila mechi anazd kuimarika

NAIMANI SOON EMERY ATATUACHIA TIMU YETU HAKUNA ANAYEMUELEWA
 
Back
Top Bottom