Kukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.
Dunia inamtambua ubora wake ,
.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,
Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,
timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?
Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?
Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.
Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa





,
Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,
Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,
mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .
Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying
Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .
hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .
Nicolas Pepe v Sheffield United (A):
72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles
View attachment 1241599