When you call others rubbish you could be
Rubbish team with rubbish fans like you .
Rubbish team with rubbish fans like you .
Rubbish team with rubbish fans like you .
Hapo mwanaume ni santo tu namkubali kocha wa wolves kapiga makocha wote wazoefu epl uwe kwako au kwake anachotaka atapata hata usajili wake wa watu wa kazi
Kwa Unai, Willock lazima aanze,Smith Rowe kama kapona ni lazima awepo , Kocha yeye huwa anataka kwenda kinyume na matakwa yetu ili atukere, Coz amekuja kutukera sio kutupigania.Hoping for a Pepe, Lacazette, Martinelli front three tonight. Get Pepe and Laca in the grove and in confidence and give Martinelli another chance to shine.
Need a big convincing win to at least lift the mood a little.


.Wazee wa futuhi mpooo?
Wanaume walicheza jana, wanaocheza wanacheza rede
Atawapanga ili kushusha preshaPepe
Lacazette
Ceballos
Wapumzike match nyepesi hiyo.
Wazee wa futuhi mpooo?
Wanaume walicheza jana, wanaocheza wanacheza rede

Kikao walimuita kwa mwenendo wa matokeoKwamba Ozil hana ubora mbele ya wakina Willock na hiki kitumbua Smith Rowe?
Yaani hata benchi hayupo.
Hii ni kazi imekua kazi. Nilisikia kawekwa kikao. So hii ndo resolution ambayo wameifikia?
Ngoja labda leo mechi haina umuhimu subiri Jpili kama hatakuwepo matusi ntakayompa aisee ni balaaKwamba Ozil hana ubora mbele ya wakina Willock na hiki kitumbua Smith Rowe?
Yaani hata benchi hayupo.
Hii ni kazi imekua kazi. Nilisikia kawekwa kikao. So hii ndo resolution ambayo wameifikia?