Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ceballos says he doesn’t feel sorry for not being at Madrid now. He didn’t play or enjoy football there .
Alonso hata sub hakai , kwa Kikosi cha Arsenal.
Naona hujui kuwa Kolasinac ni Sub ya Kieran tierny ,
Ndio maana nimekushauri nenda kadanganyane na wenzako kule jukwaa lenu
Usichojua Mabeki wa Arsenal ni hawa
Bellerin -holding-luiz-KT
Baada ya Break Back line itakuwa hiyo ,
Alafu usiwe mpumbavu. Huyo Tierney angekuwa wa maana si mngemchezesha angalau mechi 1 ya EPL? Inakuwaje kila mechi EPL anacheza Kolasinac badala yake? Tierney hajawahi kufanya chochote EPL and is nothing ukimlinganisha na Alonso. Tierney amecheza kamechi kamoja EUROPA! Hiki ni kichekesho cha sikuUnaumwa wewe alonso haingii kwa tierney hata robo
Wewe hujui vitu vingi ,ni bora ukae kimya kabisaAlafu usiwe mpumbavu. Huyo Tierney angekuwa wa maana si mngemchezesha angalau mechi 1 ya EPL? Inakuwaje kila mechi EPL anacheza Kolasinac badala yake? Tierney hajawahi kufanya chochote EPL and is nothing ukimlinganisha na Alonso. Tierney amecheza kamechi kamoja EUROPA! Hiki ni kichekesho cha siku
Kwani wanaelewaga hao
Mkuu wewe huelewi chochote ,kaa kimya ficha upumbavu ,Usiwe mjinga Tierney na Bellerin hawajacheza msimu huu mzima. Na isitoshe Bellerin ni beki wa upande wa kulia. EPL Tierney hana stats yoyote labda Kolasinac ndo amecheza mechi zote EPL. Inashangaza hata huelewi mambo ya msingi kuhusu timu yako
Wewe hujui vitu vingi ,ni bora ukae kimya kabisa
Ndio maana mm huwa siwajibu kabisa
Wewe hujui vitu vingi ,ni bora ukae kimya kabisa
Ndio maana mm huwa siwajibu kabisa
Ndio maana nimekwambia ukae kimya , unajua kwann alikuwa haanzi?Tierney amecheza mechi yoyote EPL msimu huu? Why Kolasinac ndo anaanza kila mechi?
Tierney anabebwa na nini hasa uwanjani?Ndio maana nimekwambia ukae kimya , unajua kwann alikuwa haanzi?
Unajua kwanini hizo beki zote hazikuwa zinaanza ,
View attachment 1226963
Ndio maana nimekwambia ukae kimya , unajua kwann alikuwa haanzi?
Unajua kwanini hizo beki zote hazikuwa zinaanza ,
View attachment 1226963
Wewe jamaa unatupigia kelele humu ,Bellerin ameanza kuichezea Arsenal 2012 wakati Azpillicueta anaanza kuichezea Chelsea mwaka huo huo.
Lakini ukijaribu kuwalinganisha Bellerin is nobody
Mkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?