hawa viumbe hawataki kumskia kabisa UNAI emery
Thiago silva beki bora ninaye mkubali duniani hata akija Arsenal na miaka 35 atacheza Full package sema ni very underrated duniani.
Javier pastore
Kipaji kilichopotezwa na Unai Emery
Marco verratti muitaliano ambaye hataki kumsikia Unai Emery katika maisha yake ya soka , eti Nkunku ndio sub yake , Ni sawa kinachotokea Leo Willock anaanza badala ya Ozil
Blaise matuidi ,
Lo celso kijana akamuondoa Matuid
Mechi na Madrid DM anacheza Le Celso , marco verratti mbele na Rabiot huku di maria anasota kwenye mbao na Tiago Silva na Maxwell, PSG anakufa 3-1 ndani ya Parc de prince
Unai emery anamwondoa Beki wa kibrazili Fundi kutoka barca na kumpanga Yuri berchiche huku kurzawa akila mbao .
Ben Arfa kina nkunku lo celso wanapata nafasi yeye hata kufikiriwa hakuna
Linalomkuta leo Lucas Torreira ndilo lilotokea kwa verratti .
Linalomkuta xhaka kucheza DM ndlo lilotokea PSG Lo celso kucheza DM kama DLP
Ndo maana Lo celso alivyoenda kucheza Real betis kawaka sana maana alicheza namba yake halisi kiungo mshambuliaji
Hivyo bas unai emery Ni mzee wa nongwa Tu
Apendi mtu kuwa popular kuliko yeye
Kocha mwenye nongwa na kiburi
Lucas Moura: I Had the 'Worst 7 Months of My Life' Under Unai Emery at PSG
Tottenham Hotspur winger Lucas Moura has described his time under Arsenal boss Unai Emery at Paris Saint-Germain as the worst period of his life.
Moura Lucas AKIWA KATOKA KUFUNGA GOLI 19 NA ASSIST 10 ,
Unai Emery Emery wanamwambia
"No space for Lucas Moura at PSG"