Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Man city wanatiwa la pili
sanaKOCHA HATUNA,HIVI VISASI NA VINYONGO VYAKE VYA KIJINGA JINGA,VINA ICOST TIMU.
sana
Hahaha angalia mtu kafa nne kwake ..za kwako nne zinakujaaaKazi unayo dadeki. Na mshukuru Madrid hawataki tena biashara na nyinyi wangewatwisha zigo jingine mhangaike nalo.
Kuhusu Pepe na Emery kua tumepigwa yaweza kua kweli ila wewe mwenye kocha na wachezaji visiki mpo nafasi ya tisa sisi tuliopigwa tupo nafasi ya sita huku tukiwa na option ya kufika nafasi ya tatu which am saying we are fvckin taking it.
Angalia vumbi ninalokutimulia....



Acha matusi basi kijanaMan city wanatiwa la pili
Arsenal ikishinda leo nafikiri msimamo wa ligi top 4 itakuwa ni kama ifuatavyo:
Liverpool
Manchester City
Arsenal
Leicester.
Ikifika Boxing day tupo top 4 basi mwakani CL iko kwenye sahani.
pumba timeHivi magoli aliyofunga Pepe mpaka sasa akiwa Arsenal akiyazidisha Mara 1000 yanafikia magoli ya Mason Mount?
hiyo soton iliyojichokea?Hahaha angalia mtu kafa nne kwake ..za kwako nne zinakujaaa
Kila la kheri Chelsea![]()
Hujanishawishi bado mkuu, kwa miaka mitatu ya mwisho ya wenga mfululizo tulikuwa tumechokaaaaa.Ingekuwa inawezekana tungefanya usajili wa kocha wa kum replace Unai Emery , tumekosa kocha mwenye vision na mission. Ni wakati wa kupata kocha atakaye kuja na identify ya pasi, na kushambulia. Hadi sasa ule mpira uliotutambulisha Duniani enzi za Arsene Wenger hatunao tena, ngumu kujua tunacheza mpira gani. All in all, tunashukuru kwa point hizi 3 ambazo zinatusogeza top 4
Mkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?Hujanishawishi bado mkuu, kwa miaka mitatu ya mwisho ya wenga mfululizo tulikuwa tumechokaaaaa.
Tukawa tunamsifu Mourinho kwamba he is a winner no matter what, winning in a smart way or winning ugly, at the end of the day we wanted points. Sasa hivi tumebadilika sasa. Eeeee wanaadamu nyie mbona hakuna la kuwaridhisha??
Ulisema, tunataka kurudi UEFA na hilo ndio lengo la timu, Leo imekuwaje tena?? Cant you see we are in a right track as a team???
Hakuna kocha hapoIngekuwa inawezekana tungefanya usajili wa kocha wa kum replace Unai Emery , tumekosa kocha mwenye vision na mission. Ni wakati wa kupata kocha atakaye kuja na identify ya pasi, na kushambulia. Hadi sasa ule mpira uliotutambulisha Duniani enzi za Arsene Wenger hatunao tena, ngumu kujua tunacheza mpira gani. All in all, tunashukuru kwa point hizi 3 ambazo zinatusogeza top 4
Mkuu kuna watu wenyewe wanaona emery yupo sawa, lkn hata wakuu wa bodi hawaridhishwi na timu inavyochezaMkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?
Hahaha angalia mtu kafa nne kwake ..za kwako nne zinakujaaa
Kila la kheri Chelsea![]()
Wanajidanganya tu mkuu timu iko hovyo sana ushindi wa ujanja ujanja tu, tungekua na kocha mzuri msimu huu tungekuwa pazuri sababu timu kubwa nyingi mbovuMkuu kuna watu wenyewe wanaona emery yupo sawa, lkn hata wakuu wa bodi hawaridhishwi na timu inavyocheza
Mkuu, replacing Wenger was never gonna be easy kabisa. Kuna mambo mengi mno, tena sana ambayo hatuyajui nyuma ya pazia. Emery anajua na management inajua kabisa kwamba realistic target yetu ni top 4 mwaka huu na amini usiamini Emery hawezi kuhukumiwa tofauti na hivyo. Labda arose nafasi ya nne, ila akipata nafasi ya nne then hakuna sababu ya kumfukuza na hatofukuzwa na huo ndio ukweli mchungu na kila mmoja wetu itabidi aukubali.Mkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?