Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo Luiz ameweka wazi kwamba bado anaipenda Chelsea ila ilimbidi kuondoka kwa sababu Lampard alimwambia kuwa nafasi kubwa ya kucheza itakuwa kwa Tomori na si Luiz. Ndipo Luiz akaamua kwamba anaondoka. Hapo hapo ndipo Arsenal wakaona dodo limeanguka na kuliwahi.

Kiukweli kilichomuondoa Luiz Chelsea ni game time. Kwa hiyo Arsenal inapaswa kujua kuwa mchezaji ambaye amekosa namba kwenye kikosi cha wachezaji 11 Wa Chelsea Arsenal atapata namba first team akienda Arsenal. Kante, Joginho, Mount, Tammy, Willian, Odoi, Azpillicueta, Alonso, Tomori ni aina ya wachezaji ambao wakija Arsenal hawakosi namba.

Kwa mtu yeyote mwenye kufuata Logic na hana miemuko ya kishabiki atanielewa nilichosema.


Wewe kaa na litimu lako bovu tuachie arsenal yetu.
 
Hahahaha sasa apo arsenal ukimtoa Auba mchezaji gani anaeza pata namba kwenye kikosi cha Chelsea? Hahahaha embu acha vituko mkuu...
Vutuko unavileta ww,hivi kibabu azpilicueta utamfananisha na hector....

Tufanye umewekewa hao wawili unachagua nani kuwa muwazi
 
Marcos Alonso vs Sead Kolasinac katika ligi kuu Uingereza(EPL)

Alonso amecheza mechi 5; 3 akianza, 2 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 347.

Kolasinac amecheza mechi 5; 4 akianza, 1 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 469 yaani dk 122 zaidi ya dk alizocheza Alonso EPL.

Alonso ana assists 2;
Kolasinac ana assists 1;

Shots per game:
Alonso 0.6
Kolasinac 0.2

Pass success percentage per game:
Alonso 82.3%
Kolasinac 86.8%

Aerials won per game:
Alonso 3.2
Kolasinac 0.8

Tackles per game:
Alonso 2
Kolasinac 1.5

Interceptions per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7

Clearance per game:
Alonso 2.2
Kolasinac 1.5

Key passes per game:
Alonso 1.4
Kolasinac 0.8

Passes per game:
Alonso 43
Kolasinac 36.5

Dribles per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.5

Crosses per game:
Alonso 1
Kolasinac 0.3

Long balls per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7


Hapo wadau takwimu zinajieleza yupi bora kati ya Kolasinac na Alonso. Next ni Luiz vs Tomori
Kwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????

Au umevikwepa vihande viwili kepa pazia aliyezubaaga pazia expensive....na kibabu azpilikueta kazi na umri
 
Remember when Arsène Wenger converted both Arteta and Cazorla to great DMs? When he got 100+ goals from Theo Walcott? Do not tell me Emery is getting the best from this team when Lucas Torreira and Pepé look average.
 
Lille Sporting Director Luis Campos on Nicolas Pepe
"IMO one of the characteristics of a top, top player is that they like football. I remember working with CR7 & Mbappe. They know everything about footy. Mbappe knew all the results of Ligue2.
Pepe is like that.."
#afc
IMG_20191008_174108.jpeg
 
Kwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????

Au umevikwepa vihande viwili kepa pazia aliyezubaaga pazia expensive....na kibabu azpilikueta kazi na umri
Kila mchezaji wa first eleven nitamleta hapa bila upendeleo
 
Campos on Pepe cont.
"He's another example of the importance of a player liking football. After a game he watches the whole gane again, two times, to make himself more perfect
IMG_20191008_174108.jpeg
 
Kwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????

Au umevikwepa vihande viwili kepa pazia aliyezubaaga pazia expensive....na kibabu azpilikueta kazi na umri
Kwa hiyo Alonso tukubaliane anaweza kupata namba katika kikosi cha Arsenal bila upinzani wowote
 
Arsenal are reportedly ready to spend big money to re-sign PSV star Donyell Malen, having sold him for just £200,000 two years ago.

The 20-year-old star spent two years at the club between 2015 and 2017 but failed to break into the main team under Arsene Wenger.

IMG_20191006_125256.jpeg
 
Kwa hiyo Alonso tukubaliane anaweza kupata namba katika kikosi cha Arsenal bila upinzani wowote
Alonso hata sub hakai , kwa Kikosi cha Arsenal.

Naona hujui kuwa Kolasinac ni Sub ya Kieran tierny ,

Ndio maana nimekushauri nenda kadanganyane na wenzako kule jukwaa lenu

Usichojua Mabeki wa Arsenal ni hawa

Bellerin -holding-luiz-KT

Baada ya Break Back line itakuwa hiyo ,
 
Krylia Sovetov striker Aleksandr Sobolev has appeared to confirm that he’s had scouts from Arsenal watching him amid transfer rumours linking him with the Gunners.

The 22-year-old has clearly caught the eye of big clubs in recent times as the Sun claim both Arsenal and Manchester United are interested in his services at the moment.
 
Naona arsenane kidogo mna matumaini japo timu mbovuu ila at least sio man u Timu hatuna jamani
 
Alonso hata sub hakai , kwa Kikosi cha Arsenal.

Naona hujui kuwa Kolasinac ni Sub ya Kieran tierny ,

Ndio maana nimekushauri nenda kadanganyane na wenzako kule jukwaa lenu

Usichojua Mabeki wa Arsenal ni hawa

Bellerin -holding-luiz-KT

Baada ya Break Back line itakuwa hiyo ,
Kwani wanaelewaga hao
 
Back
Top Bottom