Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kwani na wewe umekatazwa kusema kepa ni bora kuliko LENO mikono mia?

Mbona unalialia?kulia sio suluhisho la tatizo linalokukabili.....pole mkuu na mimi nakazia kuwa HAPO CHELSEA UKIMTOA NGOLO KANTE HAKUNA ANAYEWEZA KUPATA NAMBA ARSENAL KUANZIA KIPA MPAKA MSHAMBULIAJI

FACT
 
EPL 2019/2020

Chelsea 2 - 0 Brighton
Brighton 2 - 0 Spurs

Norwich 2 - 3 Chelsea
Norwich 3 - 2 Man city

Chelsea 5 - 2 wolves
Man City 0 - 2 ,wolves

Chelsea 4 - 1 Southampton
Liverpool 2-1 Southampton

ACHA WIVU ZUMBUKUKU WEWEE
Aisee! Kumbe mpira ndio unapimwa hivi,

kuna watu kujenga nao hoja nikupoteza muda na nguvu.

Kwa hiyo Man city utamfunga ngapi?? maana kafungwa na timu ulizozifunga wewe.
 
Ndio maana tunawapaga majibu yanayowastahili kutokana na ufinyu wa kuchanganua mambo.....jibu halilingani na kilichoongelewa

Mwenzio anadai tuna miaka 15 hatujabeba epl mm sikumbishia ila nimempa faida ambayo hakuwa akiijua.....kuwa mulikaa miaka 50, yeeeessss ni 50years bila kubeba hilo kombe iweje ashangae miaka 15,

Ndio maana huwaga tunasema kuwa nyie washangiliaji wa Chelsea wengi wenu ni vitoto vidogo vya 2000's ndio munasumbua humu,

Washabiki ambao kidogo nawaamini ni wa Liverpool,Man Utd na Arsenal maana wengi wao wameshuhudia timu zikipita katika nyakati zote lakini sio nyinyi WASAKA USHINDI mkiukosa mnakimbiana maana tunaona kushinda vimechi viwili mumejazana kule katka uzi wenu na nyuzi nyngnezo,
Sisi tupotupo sanaaaaaaa mvua na jua
Mkuu umeongea ukweli, ndio maana Mimi nawakubali sana mashabik wa Liverpool , wana fact ,na hawaikimbii timu YAO, sio hawa walioanza kuijua Chelsea baada ya drogba ,
 
Congratulations to the Arsenal legend gilbertosilva, who turns 43 years old today! Besides being part of the Invincibles, he also scored Arsenal's first official goal at the Emirates
images%20(1).jpeg
 
EPL 2019/2020

Chelsea 2 - 0 Brighton
Brighton 2 - 0 Spurs

Norwich 2 - 3 Chelsea
Norwich 3 - 2 Man city

Chelsea 5 - 2 wolves
Man City 0 - 2 ,wolves

Chelsea 4 - 1 Southampton
Liverpool 2-1 Southampton

ACHA WIVU ZUMBUKUKU WEWEE
Mbona haujaweka hii

MAN UTD 4 - CHELSEA 0
MAN UTD 1 - ARSENAL 1

UMEGUNDUA NINI KULINGANA NA HIYO MIFANO YAKO HAPO JUU????

NAONA KUNA KITU UMEGUNDUA ILA UNAJITOA AKILI ZUMBUKUKU SQUARE SHUBAMIT.....
 
Aisee! Kumbe mpira ndio unapimwa hivi,

kuna watu kujenga nao hoja nikupoteza muda na nguvu.

Kwa hiyo Man city utamfunga ngapi?? maana kafungwa na timu ulizozifunga wewe.
Amini kwamba huyu badobado sana tumvumilie.....ndio anajiingiza katika family ya wapenda soka lazma atoe maboko kama haya
 
"William Saliba played a blinder as Saint Etienne beat Lyon by 1-0 last night. The 18-year-old centre-back, who signed for Arsenal in a £27 million deal during the summer, was charged with the task of keeping Dembele quiet - a job he performed excellently"
 
Dani Ceballos has created 6 chances in his last 5 games.

Mesut Özil created 6 in 71 minutes.

I’m taking an efficient playmaker over a hardworking “playmaker”.
Tuna kocha wa ajabu sana haijawahi tokea....sijawahi mkubali toka akiwa PSG maana alipewa kila aina ya mchezaji mkali duniani aliyemtaka na bado timu ikavurunda
 
Tuna kocha wa ajabu sana haijawahi tokea....sijawahi mkubali toka akiwa PSG maana alipewa kila aina ya mchezaji mkali duniani aliyemtaka na bado timu ikavurunda
Sasa hiv wachezaji ndio wanapambana

Subir baada ya break ndio atachanganyikiwa zaid maana

Hakutakuwa na majeruhi hata mmoja
 
This is where top no 10s operate.

Instead, Pepe has to take on 4 Bournemouth players.

He has amazing stats in take ons but can’t do it all.

Özil lives in that space.

It’s so evident it’s beyond belief.
IMG_20191007_190814.jpeg
 
"William Saliba played a blinder as Saint Etienne beat Lyon by 1-0 last night. The 18-year-old centre-back, who signed for Arsenal in a £27 million deal during the summer, was charged with the task of keeping Dembele quiet - a job he performed excellently"
Hii game niliiangalia kijana yupo very promising. Huwezi kuamini kama ana miaka 18.

Nafikiri tukimpata na yule kijana wa Ujerumani hawa akina Luiz, Papa, Mustafi watakuwa hawana kazi tena.
 
Huyu jamaa atatuangusha tuu°

Huko PSG aligomewa mifumo yake ya kizinguaji na wachezaji

Alianza bifu na Thiago akawa anamla benchi akawa anamchezesha kimpembe

Akafata kwa verratti akafata kwa Di Maria akafata kwa matuidi ndio akamwondoa matuidi akajiunga na juve akamwondoa maxwell akawa anamla benchi kurzawa baada ya kumsajili Yuri berchiche

HIVO KWA WASIOMJUA UNAI NI MTU WA MABIFU
IMG_20191007_210204_792.jpeg
 
Huyu jamaa atatuangusha tuu°

Huko PSG aligomewa mifumo yake ya kizinguaji na wachezaji

Alianza bifu na Thiago akawa anamla benchi akawa anamchezesha kimpembe

Akafata kwa verratti akafata kwa Di Maria akafata kwa matuidi ndio akamwondoa matuidi akajiunga na juve akamwondoa maxwell akawa anamla benchi kurzawa baada ya kumsajili Yuri berchiche

HIVO KWA WASIOMJUA UNAI NI MTU WA MABIFU View attachment 1226197
Huyu mla pilipili hafai hata kuifundisha Nondo fc ya mtaani kwetu....
 
Huyu jamaa atatuangusha tuu°

Huko PSG aligomewa mifumo yake ya kizinguaji na wachezaji

Alianza bifu na Thiago akawa anamla benchi akawa anamchezesha kimpembe

Akafata kwa verratti akafata kwa Di Maria akafata kwa matuidi ndio akamwondoa matuidi akajiunga na juve akamwondoa maxwell akawa anamla benchi kurzawa baada ya kumsajili Yuri berchiche

HIVO KWA WASIOMJUA UNAI NI MTU WA MABIFU View attachment 1226197
Nilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.

Binafsi mbinu zake za ufundishaji nilianza kuzitilia shaka toka aliposababisha PSG kufungwa 6-1 na Barca nikaja kuhitimisha kwa kushindwa kutuwezesha kupata point 4 kwenye michezo 4 ya mwisho msimu uliopita.

Kiufupi huyu kocha ni wa kawaida sana, narudia kusema ni wa KAWAIDA SANA.
 
Back
Top Bottom