Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Per Mertesacker shifts forward in his seat. “Everybody says it: ‘The Arsenal Way’… but what does it actually mean?”

There is a mischievous glint in the German’s eye. “Is it offensive, passing football? Everybody does that!” he scoffs. “We need more. We need a framework — one that gives kids a freedom to play, but that also has certain kinds of measurements so we can say, ‘This is how we’re going to play, this is Arsenal, this is world class.’”

With each of those last three statements, the former Arsenal captain bangs a fist on the table for emphasis. The gentle giant is stirring.

“I’ve presented it to Edu,” Mertesacker reveals to The Athletic. The Brazilian was appointed as Arsenal’s first ever technical director back in July, and has since sat down with Mertesacker to sketch out the blueprint for the ideal Arsenal player. “Just to give you a brief idea: we want to dominate possession but we want to win it back as soon as...
0_Arsenal-FC-v-Burnley-FC-Premier-League.jpeg
 
Muhindi wetu ni mbishi sana, we utaona willock anapata gametime kuliko hata Lt11
huyo willock hafai kupata hata dk 10 arsenal , mech zote utakuta unai anamtoa ceballos anayekaa na mpira , anakaingiza hako katoto , bas utakuta pale kati pamekuwa peupe , ndio maana utakuta tunashambuliwa tu hatupigi shuti wala NINI, fatilia mech ya Watford , man u, bmouth , hata ile fainal kule Baku, Covacic anakokota mpira dimba jeupe ,
 
“I’ve presented it to Edu,

” Mertesacker reveals to The Athletic. The Brazilian was appointed as Arsenal’s first ever technical director back in July, and has since sat down with Mertesacker to sketch out the blueprint for the ideal Arsenal player. “Just to give you a brief idea: we want to dominate possession but we want to win it back as soon as...
 
van Persie:

The biggest influence [in my career] must be Wenger, because he was the one who worked with me. He saw something in me. Sometimes I messed up. I got a silly red card or – as kids do – I made mistakes. But he still gave me another chance. Chance after chance sometimes"
IMG_20191007_234736.jpeg
IMG_20191007_234710.jpeg
 
Arsène Wenger & Laurent Blanc are Lyon President Aulas’ 2 primary targets to replace sacked manager Sylvinho, according to Le Parisien.
 
Guardiola alipofika Man City baada ya muda Yaya akawa anaonyeshwa dalili za kutotakiwa, ni ukweli timu ikawa kama inelegea hivi lakini baada ya Yaya kuondoka na muda kupita Man City anacheza mpira mzuri kuliko alivyokua Yaya.

Sir Alex Ferguson alikua na Beckham, mtu mbaya wa dead balls, Beckham akaonyeshwa njia akiwa wa motoooo. Baada ya pale Man U haikuacha kuonyesha ushindani na hatimaye kutwaa vikombe.

Neymar akatwaliwa Barcelona, alikua poa. Yeye na wenzake wakaunda utatu wa MSN, Messi & Suarez & Neymar, akajiona anahitaji kuanzisha ufalme wake akaruhusiwa kwenda.

Mourinho akiwa Man U akakutana na bishoo Pogba, akaona hawataivana akawa anamzoesha benchi taratiiiibu. Mashabiki wa Man U wakachochea kutochezeshwa kwa Pogba iwe chanzo cha Mou kuondoka kwakua haitakii timu mema wakisaidiwa na wakina Scholes na Giggs.

Emery akatua Arsenal. Arsenal imechoka haina hata beki kiasimpaka CMF Niles anachezeshwa beki wa kulia, siyo jambo baya maana Wenger alishamfanya Eboue akawa beki badala ya Winger na Kolo Toure akawa beki badala ya striker, anyway timu ilikua hovyo. Ngungwa ngungwa Arsenal ikafika fainali Europa.

Emery pengine hajui, hajui kua shabiki hakosagi goli na hakosei. Kwahiyo mashabiki walivyokua wanamtajia kikosi wanachotamani fainali ya Europa kwenye page yake na ya Arsenal huko IG alitakiwa kupuuza, badala yake akapanga kikosi kilekile kilicholiliwa na mashabiki na matokeo ikawa Arsenal kufa nne bila.

Mashabiki walimlilia Ozil, alikuepo pia siku hiyo. Pengine siyo wote tuliomsikia Ospina, jamaa alisema Mesut ni mchezaji ambaye siku akiwa vizuri anakua vizuri mara mbili ya kawaida, hiyo ndiyo vile anatengeneza nafasi sita katika dakika 71, na siku akiwa vibaya ni anakua vibaya mara saba ya kawaida, hiyo ndiyo siku unaona watu mnapigwa na playmaker wa kuaminiwa haonekani.

My point is, mashabiki tunakosea tunapolazimisha Emery awe Wenger, kila mmoja ana dira na falsafa zake. Kama Emery anaona Ozila hafai kwenye mechi hii akamuweka nje hilo siyo tatizo, Guardiola alimuona Yaya hafai, Neymar, Beckham wote hao yet teams survived.

Timu ni kubwa kuliko mchezaji.,
Hao barca mpaka leo wanamlilia Neymerjr,

Kifupi kumtetea huyu mla pilipili kunahitaji moyo mkuu......

Maana arsenal hii kila game ni fainal hata zile zinazochezwa hapo uwani kwetu Emirates,

Sisi tulikuwa tunataka mtu wa kutupa zaidi ya alichotupa Wenger bro,maana kipindi cha mzee hawa kina aston villa,watford,leicester, n.k tukikutana nao unaona kabisa utofauti wa madaraja ya timu hizo mbili....lakini sasa hivi dah yaani wale bournamouth wanatupiga msako bila woga palepale Emirates.

Timu haijulikani ipo home au away....

Huyu alikuwa na wachezaji wa kila aina pale PSG na hamna kitu alichofanya.....Tatizo lake kiwango chake ni kidogo na anapoambiwa ukweli hataki anaishia kuweka chuki na wachezaji

Tukubali huyu kocha sio size ya Arsenal,huyu anafaa fulham,sunderland,villa na timu za aina hiyo..
Ameachwa mbali sana na Brendan Rojas,Nuno,Silva,Martinez, n.k
 
Wengi reference yenu ni timu ya PSG kufungwa na Barca hivi mnakumbuka Barca alivyobebwa?
 
WENGER NA YEYE HAFURAHISHWI NA EMERY

Wenger on Emery:

"I'm not here to judge coaches. I am a supporter of Arsenal FC, so I just support him. But he can win games and he plays a type of game that I like. A club like Arsenal is a huge responsibility and one of those responsibilities is to play attractive football."
IMG_20191007_220504.jpeg
 
Hao barca mpaka leo wanamlilia Neymerjr,

Kifupi kumtetea huyu mla pilipili kunahitaji moyo mkuu......

Maana arsenal hii kila game ni fainal hata zile zinazochezwa hapo uwani kwetu Emirates,

Sisi tulikuwa tunataka mtu wa kutupa zaidi ya alichotupa Wenger bro,maana kipindi cha mzee hawa kina aston villa,watford,leicester, n.k tukikutana nao unaona kabisa utofauti wa madaraja ya timu hizo mbili....lakini sasa hivi dah yaani wale bournamouth wanatupiga msako bila woga palepale Emirates.

Timu haijulikani ipo home au away....

Huyu alikuwa na wachezaji wa kila aina pale PSG na hamna kitu alichofanya.....Tatizo lake kiwango chake ni kidogo na anapoambiwa ukweli hataki anaishia kuweka chuki na wachezaji

Tukubali huyu kocha sio size ya Arsenal,huyu anafaa fulham,sunderland,villa na timu za aina hiyo..
Ameachwa mbali sana na Brendan Rojas,Nuno,Silva,Martinez, n.k
Mkuu huyu kocha hata Arsenal bodi usione ipo kimya haimuelewi ,

Wanaomteteaga sijui wanatumia vigezo gan ,siku hizi hakuna tofaut kisoka kati ya arsenal na middle table teams , kitu ambacho ni hatari sana , Wenger pamoja kuwa na average players wengi hakuruhusu hichi kitu, na ndio timu kubwa zinafanya hivo siku zote

Huyu ana wachezaji wazuri wengi ,hawez kumiliki mpira, watetez wake wanasema Sio lazima acheze mpira wa Wenger,

Wanashindwa kuelewa main point,

Mfano Klopp pale Liverpool , hachez tik tak wale total football ,lkn kamwe hawez kuzidiwa ovyo kumiliki MPIRA na middle table teams

Hii ni Rule kwa timu kubwa ,
 
Wenger on Pepę;

"I like the player and I thought it was a good decision [to sign him]. He's not yet completely adapted and you have to give him some time. He looks a little bit to be playing not with the freedom he did in France at the moment." #AFC #Arsenal
 
Arsène Wenger

'I think there’s a pack of clubs that are very close to each other and there is one team above everybody else and that is Liverpool. It would not be realistic today to speak about that [Arsenal challenging for the title].'
 
Mkuu huyu kocha hata Arsenal bodi usione ipo kimya haimuelewi ,

Wanaomteteaga sijui wanatumia vigezo gan ,siku hizi hakuna tofaut kisoka kati ya arsenal na middle table teams , kitu ambacho ni hatari sana , Wenger pamoja kuwa na average players wengi hakuruhusu hichi kitu, na ndio timu kubwa zinafanya hivo siku zote

Huyu ana wachezaji wazuri wengi ,hawez kumiliki mpira, watetez wake wanasema Sio lazima acheze mpira wa Wenger,

Wanashindwa kuelewa main point,

Mfano Klopp pale Liverpool , hachez tik tak wale total football ,lkn kamwe hawez kuzidiwa ovyo kumiliki MPIRA na middle table teams

Hii ni Rule kwa timu kubwa ,
Sahihi kabisa
 
Timu inaizidi Aston Villa goal difference ya goli moja. Kuna tatizo sehemu, kwa sasa hata kushinda 3-0 ni mtihani.

Timu haitengenezi nafasi kabisa. Tukipata goli moja kinachofuata ni kupigwa msako mkali, muda wowote unaona goli linarudi.

Emery mbinu zake hazitufikishi popote. Akiendelea baadhi ya wachezaji wanaweza wakaomba kuondoka kama Lt11, Ozil halafu tukarudi tulipoanza Kutoka.
 
Arsène Wenger on Pepe

I like the player and I thought it was a good decision [to sign him],

He’s not yet completely adapted and you have to give him some time. He looks a little bit to be playing not with the freedom he did in France at the moment.

#Arsenal
 
Nilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.

Binafsi mbinu zake za ufundishaji nilianza kuzitilia shaka toka aliposababisha PSG kufungwa 6-1 na Barca nikaja kuhitimisha kwa kushindwa kutuwezesha kupata point 4 kwenye michezo 4 ya mwisho msimu uliopita.

Kiufupi huyu kocha ni wa kawaida sana, narudia kusema ni wa KAWAIDA SANA.
Siyo wa kawaida babu huyu mbovu
 
| #AFC

Arsenal have entered the race to sign Krylia Sovetov striker, Aleksandr Sobolev, 22.

He is the top scorer in the Russian Premier League and said this

"I was told after the Sochi game that Arsenal scouts came to see me. In my opinion, it is true." [@sportexpress]
 
Kieran Tierney (6) has created more chances for Arsenal this season than Sead Kolasinac (5).
 
Italy boss Roberto Mancini could attempt to call-up Arsenal's Gabriel Martinelli after it emerged the Brazil-born striker has an Italian passport. "Martinelli... it's not easy to apply to play for Italy," Mancini said. "So we need to wait for players with two passports." (Various)
 
Back
Top Bottom