Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.

Binafsi mbinu zake za ufundishaji nilianza kuzitilia shaka toka aliposababisha PSG kufungwa 6-1 na Barca nikaja kuhitimisha kwa kushindwa kutuwezesha kupata point 4 kwenye michezo 4 ya mwisho msimu uliopita.

Kiufupi huyu kocha ni wa kawaida sana, narudia kusema ni wa KAWAIDA SANA.
Wala hujakosea mkuu
 
The Italian federation has asked Martinelli to decide to play for the Italian NT. He was born in BR but his father's family is Italian, so he holds both the Brazilian and the Italian passports. The player initially didnt refuse the Italian approuch

FB_IMG_1570350145055.jpeg
 
Wenger:

"I'm an #Arsenal man & after that I'm a professional. I can't stop working. I decided to move out of the Premier League because I am too linked with Arsenal"
IMG_20191007_220504.jpeg
 
Wenger:

"I had opportunities to work in England but I turned them down. I don't want to tell you [which clubs] because there are people in charge & it would unfair to them"
 
"William Saliba played a blinder as Saint Etienne beat Lyon by 1-0 last night. The 18-year-old centre-back, who signed for Arsenal in a £27 million deal during the summer, was charged with the task of keeping Dembele quiet - a job he performed excellently"
Saliba my player namkubali sana dogo ndio maana sishawishiki na deal la Upamecano, ni bora hiyo pesa wainvest kwingine, labda hata wamvute Everton soares Emirates aisee wabrazil wanajua sio siri.
 
Guardiola alipofika Man City baada ya muda Yaya akawa anaonyeshwa dalili za kutotakiwa, ni ukweli timu ikawa kama inelegea hivi lakini baada ya Yaya kuondoka na muda kupita Man City anacheza mpira mzuri kuliko alivyokua Yaya.

Sir Alex Ferguson alikua na Beckham, mtu mbaya wa dead balls, Beckham akaonyeshwa njia akiwa wa motoooo. Baada ya pale Man U haikuacha kuonyesha ushindani na hatimaye kutwaa vikombe.

Neymar akatwaliwa Barcelona, alikua poa. Yeye na wenzake wakaunda utatu wa MSN, Messi & Suarez & Neymar, akajiona anahitaji kuanzisha ufalme wake akaruhusiwa kwenda.

Mourinho akiwa Man U akakutana na bishoo Pogba, akaona hawataivana akawa anamzoesha benchi taratiiiibu. Mashabiki wa Man U wakachochea kutochezeshwa kwa Pogba iwe chanzo cha Mou kuondoka kwakua haitakii timu mema wakisaidiwa na wakina Scholes na Giggs.

Emery akatua Arsenal. Arsenal imechoka haina hata beki kiasimpaka CMF Niles anachezeshwa beki wa kulia, siyo jambo baya maana Wenger alishamfanya Eboue akawa beki badala ya Winger na Kolo Toure akawa beki badala ya striker, anyway timu ilikua hovyo. Ngungwa ngungwa Arsenal ikafika fainali Europa.

Emery pengine hajui, hajui kua shabiki hakosagi goli na hakosei. Kwahiyo mashabiki walivyokua wanamtajia kikosi wanachotamani fainali ya Europa kwenye page yake na ya Arsenal huko IG alitakiwa kupuuza, badala yake akapanga kikosi kilekile kilicholiliwa na mashabiki na matokeo ikawa Arsenal kufa nne bila.

Mashabiki walimlilia Ozil, alikuepo pia siku hiyo. Pengine siyo wote tuliomsikia Ospina, jamaa alisema Mesut ni mchezaji ambaye siku akiwa vizuri anakua vizuri mara mbili ya kawaida, hiyo ndiyo vile anatengeneza nafasi sita katika dakika 71, na siku akiwa vibaya ni anakua vibaya mara saba ya kawaida, hiyo ndiyo siku unaona watu mnapigwa na playmaker wa kuaminiwa haonekani.

My point is, mashabiki tunakosea tunapolazimisha Emery awe Wenger, kila mmoja ana dira na falsafa zake. Kama Emery anaona Ozila hafai kwenye mechi hii akamuweka nje hilo siyo tatizo, Guardiola alimuona Yaya hafai, Neymar, Beckham wote hao yet teams survived.

Timu ni kubwa kuliko mchezaji.,
 
Nilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.

Binafsi mbinu zake za ufundishaji nilianza kuzitilia shaka toka aliposababisha PSG kufungwa 6-1 na Barca nikaja kuhitimisha kwa kushindwa kutuwezesha kupata point 4 kwenye michezo 4 ya mwisho msimu uliopita.

Kiufupi huyu kocha ni wa kawaida sana, narudia kusema ni wa KAWAIDA SANA.
Hivi kumbe alishindwa kupata point 4 kwenye game 4?? eti brighton anatoa sare Emirates and it was a must win game duuu!..Mechi iliniuma ile.

Kipindi cha AW ukiambiwa "a must win game" hapo lazima mtu afe hata tano.
 
Hivi kumbe alishindwa kupata point 4 kwenye game 4?? eti brighton anatoa sare Emirates and it was a must win game duuu!..Mechi iliniuma ile.

Kipindi cha AW ukiambiwa "a must win game" hapo lazima mtu afe hata tano.
Mkuu alikosa point 4 ndan ya mech 8

Tena dhid ya middle table teams

Kwa mfumo wa emery ,ni ngumu sana winger ku shine ,
Top striker kwa Unai Emery no 9 Tu msmu wa 2013/2014 ni gameiro msmu wa 2014/2015 carlos bacca msimu wa 2015/2016 carlos bacca again


Hata cavani psg ndo alikuwa ana magoli mengi
Mawinga chini ya Unai Emery hamna jambo ikitokea wamefikisha Goli 20 ngumu sana
Magoli 10 Tu inabd upongeze sana,au awe exceptional kama kina neymar

Ni Kocha mweupe sana ndio maana kina Guardiola yanamlizaga sana mfano game na Manchester united second half hatukupiha shuti hata moja


Beki hazipand kiungo kimekata.
 
Arsenal tunapitia kipindi cha mpito lakin matokeo chanya tutayapata sana. Siku unai akifukuzwa ntatoka out kujipongeza
Haaahhaha! Nlivoanza kusoma nlijua unamaanisha tumvumilie muhindi ni kipindi cha mpito so atakaa sawa
 
Mpaka sasa Espanyol Sampdoria Lyon wamefukuza makocha tayari watu wapo serious na kazi
 
Halafu aliomba likizo ,ili amlee mwanae , nadhan atakosa mech karibu 4 ,
Xhaka akipata likizo tegemea nafasi yake kuchukuliwa na Willock, yaani Matteo anarudi chini afu juu anakuwa Willock na Ceballos thn Torreira bench kama kawaida.
 
Xhaka akipata likizo tegemea nafasi yake kuchukuliwa na Willock, yaani Matteo anarudi chini afu juu anakuwa Willock na Ceballos thn Torreira bench kama kawaida.
Yaan hicho ki willock hakitakiwi kupata hata dk 10
 
Silvinho kapewa lyon anajilinda ,

team kama Lyon ishazoea kuposses hata wachezaji waliopo pale n wa hivyo

Aulas Kamwambia usituletea ujinga

Katimuliwa
 
Lyon walikuwa fire game za mwanzo sijui walipatwa na nini aisee! Walimpa monaco km 3-0, thn wakampa Mwngine kama 6-1, kilichofuata ni historia.
 
Back
Top Bottom