Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuachane na Mechi ya Man u ishapita


Sasa wana rejea HOLDING, BELLERIN ,KT3, LACAZETTE

Kuna mech kama 5 mbili za Europa


Naiman tutashinda mechi zote


Go arsenal Go The Gunnerz
Unai simwamini! Ulitegemea Watford wawakimbize arsenal kiasi kile?
 
Nimekuwa nikiongea sana kuhusu pepe basi imetosha. Asipojirekebisha atajaza mwenyewe. Kasi bila ubunifu, bila nguvu za miguu, bila utulivu KASI INAKUWA BURE.

Namuonea huruma sana Auba bonge la mshambuliaji wanaomzunguka wanamuangusha. Mshikeni sana auba asiondoke.

Na ili asiondoke fanyeni maamuzi magumu ya kubadili kocha.

Hongereni Kwa draw.
Pepe ni swala la muda tu,

Mbona hushangai Magwaya beki ya £80m ,

Vipi hazard wa £130m kule Madrid
 
Bukayo Saka's contribution tonight, becoming the youngest starter in a PL game between Arsenal & Man Utd
48 touches
Completed 20/23 passes
19 duels, won 10
5 tackles (most for team)
4 dribbles
2 shots, 1 on target
2 chances created, assist for Aubameyang's goal
IMG_20191001_084752.jpeg
 
Nimekuwa nikiongea sana kuhusu pepe basi imetosha. Asipojirekebisha atajaza mwenyewe. Kasi bila ubunifu, bila nguvu za miguu, bila utulivu KASI INAKUWA BURE.

Namuonea huruma sana Auba bonge la mshambuliaji wanaomzunguka wanamuangusha. Mshikeni sana auba asiondoke.

Na ili asiondoke fanyeni maamuzi magumu ya kubadili kocha.

Hongereni Kwa draw.
Na huyu Beki ghali duniani unamzungumziaje?

Vipi pulisic na yeye?

Hebu tuwen watulivu, kaangalie hazard Madrid anavyo hangaika na katoka ligi ngumu EPL
IMG_20191001_084708.jpeg
 
I’m sick of these jokemen saying “back the manager”

Why should we back Emery when he’s not respecting the club one bit?

He’s ruining the traditions and the identity of the club.

Over a year into the job, and we play like year 7s vs year 11s. He’s making us look like a joke
 
Kuna Mstari kwenye Biblia unasema
Nao Maadui zako watakapokuona watakukimbia

Ndicho alichofanya Maguire jana kumkimbia Aubameyang

IMG-20191001-WA0001.jpeg
 
I’ll respect him once he packs his bags and leaves. I feel sick to the core every time I watch Arsenal play and it’s down of him. At least with Wenger, no matter how shit we were, we always tried to play attacking football.

We have no idea what Emery’s tactics or game plan is
IMG_20191001_005651.jpeg
 
Pierre-Emeric Aubameyang amefunga magoli 17 kwenye michezo 17 iliyopita ya mashindano yote, Man United imefunga magoli 15 kwenye michezo 17 iliyopita kwenye mashindano yote.

IMG_20191001_011744.jpeg
 
Martineli na Tierney hawapangi. Jana anamuacha mtu kama Ozil ,

Kila akiwaingiza wale watoto wawili Willock & nelson ,havikabi , timu katikati inakuwa kama kuna Ombwe

Nelson anapiga kijishuti , kama hajala ,



Sijui kwanini Unai anapagawa akikutana na timu kubwa.


Ben Leno mtuu na nusu
IMG_20191001_015004.jpeg
 
yaani timu imetoa draw na manchester united ndani ya old traford bado inalaumiwa, kweli binadamu tumejaa lawama na hatuna shukrani
 
Poor unai Emery ....

Poor game approach....

Poor team selection....

Poor players positioning.....


Poor formation....

Poor arsenal performance so far.


Matteo gundouz
Auba
Chambers
Leno
Luiz
IMG_20191001_020256.jpeg
 
Auba anakuonyesha kuwa yeye sio goal gater ila n real poacher

Ile inaitwa international outrun inayomaliziwa na best chopping
IMG-20191001-WA0004.jpeg
 
Kuna watu humu wanajiuliza kwnn hatumpend emery wkt kafungwa gem1

Ila unaangalia amekosa matokeo kwa kina nani??

Spurs hawajielew Leicester kampa za USO, man u hawajielew westham kawapa za USO.

Hvyo tunachotaka ni usiriaz wa kocha wachezaj tunao tena wazuri tu namna ya kuwatumia ndio shida.
 
VAR suluhisho la waliozoea kubebwa,


Kama ingekuwepo VAR bas hata unbeaten zingefika had mech 70 huko


Mech ambayo unbeaten ilikoma ,man u walibebwa sijawahi kushuhudia mech kama ile man wakibebwa


Wenger alisema

“If I die, I am going to ask God where the referees are before choosing between heaven & hell.”
 
Watoto hawana nguvu za miguuni, yani wakisha ingia wale mapigo ya moyo yana zidi kwenda kasi.
Martineli na Tierney hawapangi. Jana anamuacha mtu kama Ozil ,

Kila akiwaingiza wale watoto wawili Willock & nelson ,havikabi , timu katikati inakuwa kama kuna Ombwe

Nelson anapiga kijishuti , kama hajala ,



Sijui kwanini Unai anapagawa akikutana na timu kubwa.


Ben Leno mtuu na nusuView attachment 1220308
 
Back
Top Bottom