Jiji la Manchester ni furaha naona wiki hii kwao,na j5 wanakutana Manchester derbies na West London derbies(Chelsea vs Fulham)wiki hii hakuna hata timu 1 ya London imeshinda ktk ligi kuu ya England,kasoro fulham na west ham zimeambulia sare ktk mechi zao za mwishoni mwa wiki.Asante bana, kilio cha wengi London (Arsenal, Spurs, Chelsea)---"harusi!"---
kweli kbisa mkuu,tatizo hili miaka nenda rudi tunakosa plan b ya kushinda mechi kama hizi.Walianza Albion na sasa Magpies, hizi timu zote ndio zimepanda tena daraja msimu huu zinatunyanyasa nyumbani?
Na nikikumbuka misimu ya nyuma akina Hull City nao walikuja Emirates na kuondoka na ushindi, hakuna heshima tena , sio intimidated ground kama ilivokuwa Highbury, Westham nao chupuchupu wajiondokee na pointi!!
Wenger na arudie formula ile ya zamani ambayo ilitupatia mafanikio,na turudie kusajili Wanaume, hivi vitoto havitoshinda kombe (labda Carling) tunahitaji wapiganaji kama walivokuwa The Invincible,akina Gilberto, Pires, Vieira, Ljunberg, Campbell, Parlour,Keown wote ni wapiganaji ambao kama ni urembo wanaweza na ukitaka vita poa vilevile, nakumbuka ile mechi Old Trafford Van Nistelrooy v Keown, Vieira v Keane, aah masikini timu yetu, eti akina Andy Caroll, Tiote na Ameobi wanakuja Emirates na kuweka authority?
Sawa mkuu lakini Arsenal wakibanwa huwa hakuna jinsi.
Hakuna jinsi kwa vile tunatumia style hile hile tu na kutaka kulazimisha ifanye kazi badala ya kuwapa presha na mashuti ya mbali.mtu ndani ya box anataka kutoa pasi wakati ana nafasi nzuri tu ya kujaribu.wanakera sana mkuu.
Hatuna Striker....Tunahitaji striker mmoja kama si wawili pale wenye nguvu mithiri ya Andy Caroll,Didier Drogba ama Wayne Rooney na si mlegevu na mviziaji kama Marouane Chamakh.......
Btw.....Salama wakuu?,habari za siku mingi.....Poleni na pilika pilika za............
Hatuna Striker....Tunahitaji striker mmoja kama si wawili pale wenye nguvu mithiri ya Andy Caroll,Didier Drogba ama Wayne Rooney na si mlegevu na mviziaji kama Marouane Chamakh.......
Btw.....Salama wakuu?,habari za siku mingi.....Poleni na pilika pilika za............
Nakubaliana na sababu za Wenger kwamba ni vigumu kupata match fitness haraka na mchezaji anahitaji mechi walau 2 ili arudishe makali (sharpness) ila nahisi hizi excuse zimezidi, there is no excuse losing to WBA and Newcastle at home full stop.One of the bad days in the office, if you listened to Arsene you will agree with him. Cesc, Van Perse, Walcott and Bendtner all coming from injuries aren't as sharp as they are supposed to be, but give them at least two weeks we will be flying. Cesc passes were allover just relax guys .. ... ....
Sishangai kwa kuelekeza mapambano yenu darajani, maana tumewafunika kwa muda mrefu sasa.....lol.dah, ulipotelea wapi kaka? hukukutana na BAK huko?
Karibu tena, ...sie tupo, Kweli, Arsene Wenger, Baba Mkubwa na Kiongozi Wacha1 bado wanaendeleza mapambano ya kifikra hapa mpaka kieleweke kwa jamaa wa 'Darajani!'
Mtani naona unapita kutusalimu, vipi leo una matumaini ya ushindi? Chamakh mzuri mkuu na anajituma ila anahitaji mechi zaidi kwa sababu maamuzi yake bado sio fresh.Huyo Chamack sijui kwa nini Wenger anamchezesha
Huyo Chamack sijui kwa nini Wenger anamchezesha
Karibu sana mkuu.Hatuna Striker....Tunahitaji striker mmoja kama si wawili pale wenye nguvu mithiri ya Andy Caroll,Didier Drogba ama Wayne Rooney na si mlegevu na mviziaji kama Marouane Chamakh.......
Btw.....Salama wakuu?,habari za siku mingi.....Poleni na pilika pilika za............
kwa vile anafunga magoli.Huyo Chamack sijui kwa nini Wenger anamchezesha