Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuchaguliwa xhaka kuwa team captain ina maana tunaenda kuona combo ya xhaka na guendouz.

Kitu ambacho ni hatari zaidi ya neno lenyewe hatari

Hivo tutaendelea kushuhudia LT11,OZIL ,wakila mkeka

HUYO NDIYE EMERY TUNAAMBIWA ANAJENGA TIMU
Mimi binafsi sijawahi kuvutiwa na Unai Emery hata siku moja,kinachotokea sasa hivi kwa Arsenal hakitakuwa tofauti sana na timu ilivyokuwa kipindi cha Wenger,timu ina wachezaji wazuri na mpira mzuri lakini inakuwa butu...
 
Arsenal siyo timu ya kubadilisha makocha ovyo ila kwa sababu ya uongozi kumpa timu Emery ilikua ni kutafuta unafuu tu. Na ndio inatucost leo.

Mtu kama Mikel Arteta alikua mtu sahihi kabisa kutokana na mambo aliyoyahitaji kuyapata.Yule ndio alikuwa mtu wa kuunda timu na tungemwelewa.

Emery ni chaguo la pili na haya tunayoyaona leo ni madhara ya chaguo la pili (PLAN B ).

Arteta > Emery.(Hata bodi na Wenger pia wanalijua hili). Hahahahaaha!
 
Baada ya Benitez kutoka Liva, ikapata makocha wa hapa na pale mpaka ikatulia kwa Klopp. Man U baada ya Alex kutoka wakazurura hapa na pale na saa hii wameangukia kwa Ole ambaye naamini ataondoka soon.
Chelsea wanaenda na kurudi kwa Mourinho, safari hii wametua kwa Frank, binafsi naamini siyo kwa kupenda isipokua wamekosa established coach ambaye angekubali kufundisha klabu isiyosajili.

Arsenal tumeachana na Arsene kaja Emery naona ghafla tuna hamu ya kuipita ruti waliyopita wenzetu. Ajiri, Tema, Ajiri, Tema tena. Yaweza kua Emery hatoshi lakini hapo ni tumemuweka sahani moja na Man City, Liverpool (Nimetaja hizi timu mbili kwakua ndiyo zina uhakika wa kushinda zinapocheza na timu nyingine) lakini kati ya hizi timu kuna moja ilijengwa kwa uvumilivu, trial and error mpaka wakafika wanapopataka halafu nyingine imejengwa kwa pochi.

By the time hizi timu zinajijenga, kwa pochi na kwa uvumilivu, sisi hatukua popote katika hayo makundi 2. Pesa hatukutumia na vipaji tulikua tunaviuza, hatukutumia pesa kuleta wachezaji wakali na vilevile hatukua na timu iliyosukwa kwa muda mrefu. So saa hii Emery ana timu ambayo imefungua pochi kidogo na ina makinda, ninachoona anajaribu kuwork out nani ni nini katika kila nafasi. Xhaka kuchezeshwa namba siyo yake siyo tukio la kwanza duniani, Henry alivyochezeshwa kama striker na Arsene hakuanza kuscore ghafla, ilichukua muda mpaka akawa tunayemjua leo.

Mgano tunajua kua mtu unahitaji beki wa kulia na kushoto wanatakiwa kua na speed kuliko CB ila Chambers hana speed ingawa ni beki mzuri. Mimi ningekua kocha nikicheza na baadhi ya timu siwezi kumpanga Chambers awe beki wa pembeni ni nitamweka CB au DMF. Emery anashinda na hawa watu karibia kila siku ni anajua nani ni nini katika nafasi anayompa.

Ingekua Man U ndiyo inalalamika kuhusu matokeo ningeelewa sana, kwanini? Kwasababu wametumia pesa nyingi karibia na Man City waliyotumia wanalipa wachezaji mishahara mikubwa lakini bado timu yao siyo tishio.

Miki nasema Emery ni kocha tena mzuri tu. Arsene alikuja akitokea Japan, na hakuna aliyejua huko alipotoka alifanya nini and the man turned out to be a legend. Emery hata historia yake ipo ila kumvumilia ndiyo mtihani au siyo? Kisa? Hajui kikosi. Nakumbuka fainali na Chelsea ya Europa kikosi alichopanga ni kilekile mashabiki tulikililia, tukafa nne, na huyu Ozil anayeliliwa hapa yumo.

Tukaga tatu na Leicester, tukafa 2 - 1 na timu jina limenitoka. Mimi nikisema Laca na Auba waanze hua simaanishi tunashinda hua namaanisha na sisi tunakua na fighting chance. Nikisema Matteo miyeyusho simaanishi asipokuepo tutashinda ila namaanisha akiwepo anaua fighting chance kwa ukosefu wake wa stamina na control.

Naamini baadaye kidogo tukitoka kwa Emery tutaenda kwa Luiz. Luiz ni mkabia macho kama Mustafi, na msababishaji penati mzuri tu. Tukitoka hapo tutaenda kwa Pepe, hajascore mpaka leo wakati Nketiah mechi moja tu kascore, Saka kashascore, tusihesabie la penati.

Hoja yangu ni kua arsenal bado tunajijenga, matamanio yetu yakae kando kama kusajili hata Totenham kasajili lakini maisha yake wote tunayaona na Efl kashatolewa.

Tuache mihemko.
Hakuna cha mihemko,ila ukweli ni kwamba Unai anazingua,unaponda performance ya Mesut wakati unajua fika huyu kocha ndio chanzo cha kuzorota kwa kiwango chake,kamharibu kisaikolojia kiasi kwamba anajiona sio chochote katika timu pamoja na ukweli kwamba anastahili heshima kwa hao madogo wanaochipukia.....

Leo hii mtu kama Mesut kutoka katika usinior mpaka kuwa mchezaji wa CALABAO CUP na hamalizi?na hata anapocheza uwanjani unaona kabisa hana furaha na uso umepoteza nuru,spirit ya upambanaji inaanzia katika mentality yao kisha ndio physically.......mchezaji anapokosa moyo wa upambanaji usitegemee makubwa......

Kiuhalisia katika hao vijana waliopo sijamuona wa kumuweka bench Mesut,

Ubovu wa defence yetu unachagizwa sana na DM maana muda wote kiturubai kipo kwetu,hao mabeki lazma wavuje hata kama angekuwa NESTA na CANAVARO pale nyuma,

Leo unasema suala la kuvumilia DM dah ...aiseeeh hivi DM ni nafasi inayovumilika katka soka?afadhali ukisema striker sawa ,maana unaweza kusema hata CM,RW,LW wanaweza kufunga,katika soka kuna nafasi hazihitaji watu wabovu mkuu?Kipa ,defenders,dm hawavumiliki wakiwa wabovu!!!!!!!unaweza kuvumilia tu endapo utakuwa huna chaguo lingine,lakini watu wa kucheza hiyo nafasi wapo then anawekwa mtu eti tumvumilie hilo suala NI GUMU SANA TENA SANA.....
 
Kuchaguliwa xhaka kuwa team captain ina maana tunaenda kuona combo ya xhaka na guendouz.

Kitu ambacho ni hatari zaidi ya neno lenyewe hatari

Hivo tutaendelea kushuhudia LT11,OZIL ,wakila mkeka

HUYO NDIYE EMERY TUNAAMBIWA ANAJENGA TIMU
Wakumdrop ni mmoja kati ya Xhaka au Gunduz, Lt11 na Ceballos hawatakiwi kukosa game yoyote hapo na wakiwepo atleast mid itakua imebalance.Masuala ya kutuwekea watu waprogress hatuhitaji sisi tunataka kazi tu sasa, kuprogress ni Europa na carabao cup sio Epl.
 
Hakuna cha mihemko,ila ukweli ni kwamba Unai anazingua,unaponda performance ya Mesut wakati unajua fika huyu kocha ndio chanzo cha kuzorota kwa kiwango chake,kamharibu kisaikolojia kiasi kwamba anajiona sio chochote katika timu pamoja na ukweli kwamba anastahili heshima kwa hao madogo wanaochipukia.....

Leo hii mtu kama Mesut kutoka katika usinior mpaka kuwa mchezaji wa CALABAO CUP na hamalizi?na hata anapocheza uwanjani unaona kabisa hana furaha na uso umepoteza nuru,spirit ya upambanaji inaanzia katika mentality yao kisha ndio physically.......mchezaji anapokosa moyo wa upambanaji usitegemee makubwa......

Kiuhalisia katika hao vijana waliopo sijamuona wa kumuweka bench Mesut,

Ubovu wa defence yetu unachagizwa sana na DM maana muda wote kiturubai kipo kwetu,hao mabeki lazma wavuje hata kama angekuwa NESTA na CANAVARO pale nyuma,

Leo unasema suala la kuvumilia DM dah ...aiseeeh hivi DM ni nafasi inayovumilika katka soka?afadhali ukisema striker sawa ,maana unaweza kusema hata CM,RW,LW wanaweza kufunga,katika soka kuna nafasi hazihitaji watu wabovu mkuu?Kipa ,defenders,dm hawavumiliki wakiwa wabovu!!!!!!!unaweza kuvumilia tu endapo utakuwa huna chaguo lingine,lakini watu wa kucheza hiyo nafasi wapo then anawekwa mtu eti tumvumilie hilo suala NI GUMU SANA TENA SANA.....
Mimi ni Arsenal fan kama wewe. Hivyo naitakia timu mafanikio pia.

Ozil kua homa za vipindi hajaanzia kwa Emery. Ospina alimuelezea jamaa performance yake.

Tumewakosa Bellerin na Holding, Tierney kaja huku yuko majeruhi the whole time kocha anafight kuweka formation za kuficha gapes za mabeki.

Sasa leo Aston na Wat wametutoa jasho, kiukweli ni aibu. Ila nani aone aibu? Man C aliyepigwa na Norwich huku ana kikosi cha gharama au Totenham aliyetolewa carabao huku Son, Dele na wengine wapo ndani? Na akiwa amesajili vilevile.

Kama ataondoka kisa falsafa sawa mi sina neno hata kidogo.
 
Mifano yako ni hewa, unamzungumzia man city aliyepigwa na Norwich ambaye kuja kufungwa inaweza kutokea mwakani,

Unafananisha na Timu ya emery ambayo hatujui hata mech 5 mbele tutavuna point ngap?
 
Mimi binafsi sijawahi kuvutiwa na Unai Emery hata siku moja,kinachotokea sasa hivi kwa Arsenal hakitakuwa tofauti sana na timu ilivyokuwa kipindi cha Wenger,timu ina wachezaji wazuri na mpira mzuri lakini inakuwa butu...
Yaan bora Wenger hakuwa na WACHEZAJI wazuri wengi magarasa lkn alicheza mpira wakueleweka
 
Swali kwako Mkuu Kocha anapanga mfumo kulingana na wapinzani anaoenda kucheza nao au anapanga mfumo ambao ili kuwachezesha wachezaji anaotaka ili washinde match?
Kocha anatakiwa apange mfumo utakaokuwa rafiki kwa wachezaji , wachezaji wakielewana tayari timu inakuwa rahisi kujua hata madhaifu,

Leo Emery kila mech anakuja na 4-3-3 ,4-2-3-1 ,4-3-1-2,4-4-2 hii imepelekea wachezaji kuto perform vzr, mfano ceballos ni mzuri namba 8 na LW , lkn kocha kwakubadili mifumo utakuta kesho anacheza namba 10 ktk 4-3-1-2 anapotea ,

Angalia klopp amestick na 4-3-3 ,hawa distable wachezaji ktk namba zao,

Nilimfatilia lampard alianza na 4-2-3-1 akaja akabadilika akacheza 3-4-3 ili kumu accommodate Alonso ili acheze Wingback lkn hakuharibu role za wachezaji wengine,

Kante ,tamy, n.k wakacheza kwenye majukumu yao Yale Yale kama wanavyocheza kwenye 4-2-3-1 ,
 
Hoja nyepesi nyepesi.....haziwezi kutosha kumtetea Unai,na kusema kuwa Emery ana mafanikio arsenal kuliko Wenger ndio unazidi kunipa wasiwasi na unachokitetea,leo unaponda soka la pasi lililokuwa linapigwa na Arsenal!!!!!!kwa kusema halikutusaidia ARE YOU SERIOUS mzee?????rekodi ngapi tamutamu zilizowekwa kupitia Arsenal ile ikiwemo ya UNBEATEN?????dah mkuu tulia kidogo nahisi kuna tatizo mahali
Zidane alipokabidhiwa Madrid mwanzoni alihojiwa akasema hua inafikia hatua hua nawaambia wachezaji wangu wacheze wanavyojua ili mradi tupate matokeo.

Na alishinda vikombe vya Uefa.

Kwa watu wengine wanaweza sema Zidane ni kocha mzuri kuliko Emery kwa ajili ya Uefa. Lakini kocha ni mikakati, anapofeli ni inamaanisha kocha mwingine ana mikakati kuliko wetu, haimaanishi ni mbovu. Swala la mwanga mbona kuna mdau kwenye nyuzi hizi hizi alisema Arsenal ya Emery ina mafanikio kuliko ya Wenger na takwimu zikatolewa, unataka mwanga gani mwingine?

Bale alikua namba 11 Andres Villas Boas akamrudisha nyuma kidogo kwa kuona speed ya jamaa. Na ni msimu huo akang'aa vibaya mpaka Madrid wakamchukua. Auba alikua winga originally leo hii ni striker. Hizi za mchezaji kubadilishwa namba siyo jambo la kusema kocha ni mwehu, ni zipo tu.

Falsyafa yetu ilikua mpira wa pasi na kuumiliki na kutamba nao hafi kwenye boksi. Ila Pasi nyingi zilitusaidia nini mbele ya Barcelona? Bayern? Man U iliyotupiga nane? Unapata falsafa ya timu kulingana na wachezaji ulionao.

Liva counter attack ni sehemu yao ya mchezo tofauti na sisi. Hii inatokana na wachezaji walionao, sisi Guendouz huwezi kumtegemea kukimbia na mpira kutoka dimbani hadi kwenye boksi bila kupokonywa. Ila enze za Walcot, Henry hata sisi ilikua sehemu ya mchezo.

Tusubiri game na liva na man u.
 
MUN hii sio ya kutufunga afe kipa afe beki,Kufungwa na MUN ni kitu kinanikera sana siku huwa inaharibika kuliko asee.

Na game zetu za OT na hawa mabwana(van gaal na wale watoto kina Depay...alitufunga 3-2 sikuamini) sijui waga miujiza hata tuwe form vipi sana sana tutaambulia sare,..Ngoja tuone.
 
Paul Pogba is a doubt for Manchester United's match against Arsenal on Monday Night Football, while Marcus Rashford and Anthony Martial are unlikely to return.
 
Arsenal's five-man leadership group

1. Xhaka
2. Auba
3. Bellerin
4. Laca
5. Ozil

Emery: "Xhaka is mature. He has experience. In the dressing room, the players vote him as first. I trust and believe in him. His challenge is to change opinion, improve and give us help each time." https://t.co/7SVMVIXH0X
 
It's time to pick your Player of the Month for September…

@MatteoGuendouzi
@Aubameyang7
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 @CalumChambers95
@EmiMartinezz1

…who will you vote for?
 
Coyg #UnaiOut#
_20190927_200834.JPG
 
At Colney. Emery confirms his five captains are - in order - Xhaka, Aubameyang, Bellerin, Lacazette, Ozil.
- Says both Xhaka and the club's challenge is to "change the opinion" about him among his critics.
IMG_20190927_201237.jpeg
 
Keown on Xhaka being named captain:

"This is a massive call & I think perhaps he [Emery] has got it wrong. This is really going to divide the fans. There are times when Xhaka goes missing in midfield, he’s given penalties away… he must be an incredible character off the pitch!" https://t.co/jVdUtTPy2k
 
Back
Top Bottom