Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
New no.7
Mtoto kaaminiwa
Mtoto kaaminiwa
Acha wivu wakike Aron anatuletea taarifa na yupo humu kipindi cha shida na raha.leo unaona wivu kisa anatoa habari na kukufundisha mpira huyo emery hafai hapo arsenal hata wachezaji wazaman wa arsenal wanasema ww leo timu inaonesha mwanga unakuja humu unaleta wivu wa kike leta na ww habari ungekuwa na uwezo wakuzipata ungezileta acha ujinga wwUnajua wewe jamaa unakuwa na hoja chengu kabisa. Sometimes mpaka naona napoteza muda kujadiliana na wewe mambo ya soka. Of course nakukubali sana unatuletea taarifa, means you make our lives easier (because hata mimi hizo taarifa naweza kuzipata tu faster, tatizo muda).
Emery anavuruga falsafa ya arsenal?? Falsafa ipi??? Ya kupiga pasi nyingi halafu mwisho wa siku tumetoka droo?? Hii sio falsafa ambayo tuliikataa?? Tukasema tunataka points??? Nimekuona mara kadhaa eti unapiga upatu uchwara humu Mourinho apewe timu, sasa unaijua falsafa ya Mourinho?? Au unamchukia tu mtu for nothing??
Hivi mweli unaweza ukakaa ukasema timu haijulikana inacheza nini?? Hebu nenda uangalie where were we on game day 6 in the previous 3-4 seasons?? The team is collecting points na hilo ndio la muhimu, we may win in an ugly way but that's better than playing beautiful and lose against Birmingham tena fainal.
Hivi seriously unasemaje kocha hana mfumo?? Kwa ajili tu za kawaida kocha anakuwaje hana mfumo??
Hivi ile 4-4-2 au 3-5-2 au 4-2-3-1 inakuwa sio mifumo ?? Yale ni mavi ya mbuzi sio?? Au ndio mnataka kila mechi formation hiyo hiyo?? Sio lazima kuiga, kama klopp anacheza 4-3-3 kila mechi it's because hana option in his front 3. Ni exceptional players ambao hawezi kuwapiga benchi. Salah, mane na firmino. Sasa unasemaje yaani katika akili ya kawaida kocha hana mfumo??
Lampard??? Kaonyesha mwanga gani?? Huwezi kumzungumzia Lampard kwa chochote kwenye taaluma ya ukocha, sisemi timu yake haichezi vizuri, nooo! Timu inacheza vizuri lakini hebu niambie, is there any hope kwamba chelsea itaambulia chochote end of season?? Jibu ni noo. Lampard can't be a reference kabisa.
Hebu acheni story za vijiweni, hivi mnajua kwamba kumpata Emery management ilifanya mchakato na sio kukurupuka tu??
Acha ujinga wewe makocha wanaajiriwa ili wafukuzwe,man u, Chelsea ,Liverpool ,mancity wamefukuza makocha ije kuwa arsenal acha kuongea utumbo timu ikifungwa hamuonekani humu sasa hivi ndio mnajifanya wajuaji wakubwaSio hivyo dully, inaonekana kama tunagombania fito. Huyu ndio kocha wetu, the management went through a process to get him, now we dont trust the process???
Huyu Wenger hivi tumemsahau mara moja hii? Nendeni kwenye stats mkaangalie ni lini mara ya mwisho tulikuwa a goal behind and a man down halafu tukashinda?? Mnataka tuwe kama United au Chelsea kufukuza makocha kila msimu??
That is not Arsenal's philosophy. We will stick with EMERY
Anamuonea wivu Aron hana lolote huyo timu ikifungwa wanakimbia sasa hivi anamuonea wivu Aron kutuletea habari humu kuna mijitu inawivu humuDuh we jamaa unatoa povu la kutosha.....
Hili ni jukwaa huru na watu wapo huru kutoa maoni yao,SASA USIWAFUNGIE WATU KATIKA BOX LA FIKRA ili wafanane wanachofikiria hiyo haitakuja tokea daima.......toa maoni yako tutayaheshimu na mwingine akitoa maoni yake pia uyaheshimu.....
Isifike kipindi tukaanza kufukuzana humu kisa kupishana mawazo,
Wote tunajenga nyumba moja haina haja ya kugombania fito....
Nilishampuuza kitambo sanaAnamuonea wivu Aron hana lolote huyo timu ikifungwa wanakimbia sasa hivi anamuonea wivu Aron kutuletea habari humu kuna mijitu inawivu humu
Ukisikiliza pumba zake utachekaAcha ujinga wewe makocha wanaajiriwa ili wafukuzwe,man u, Chelsea ,Liverpool ,mancity wamefukuza makocha ije kuwa arsenal acha kuongea utumbo timu ikifungwa hamuonekani humu sasa hivi ndio mnajifanya wajuaji wakubwa
BREAKING NEWS
#AFC player @BukayoSaka87 has been promoted to the first team and has been handed the number 7 shirt.
️#Arsenal
Mpuuz mama'koWewe mpuuz umerud tena
Ashley Cole mtoto wa academy ya arsenal ,kabeba EPL 2 na mataji mengine na Arsenal
Kipind hicho Chelsea haijazaliwa, maana Chelsea imezaliwa 2005 ,ndio maana unasema Cole hajabeba EPL na arsenal,
Yaani wewe unajua timu zimeanza 2005
Bwege mama'koJamaa bwege kapenda Mpira ukubwani

Acha upumbavu mama yangu ameingiaje hapaMpuuz mama'ko
Usituchafulie hali ya hewa humu wewe bwegeMan united nipigie izi Mbuzi ..
Magwaya atalala na viatu jumatatu..
Apa namuona auba tu mchezaji wengine takataka..
Kila la kheri Man United
Come on United![]()
Total crap! Totally crapMbona unaongea pumba sana
Mara sijui taarifa unaweza kuzipa Mara sijui nini,?
Kama.unaweza kuzipa kwann usilete unakuja kulalamika hapa?
Nimeshakueleza hapa kuhusu emery ,
Unaleta ubishi ,mm nilishakupuuza kitambo
Maana haya ninayosema hapa sio Mimi wakwanza kusema
Kayasema RVP, IAN WRIGHT, PETIT, KEWON,
wewe umekuja juzi humu kwenye jukwaa tayari unanipanikia Mimi ,
Nilikulazimisha mitizamo yangu kuhusu emery?
Comment yako inaonesha unachuki kiasi gan
Cha kufanya uwe unapita pembeni ,mbona mm nilikupuuza nilipoona unaongea pumba ,hujibu hoja unazowekewa
Unauliza maswali ya kipuuzi, kwahiyo
Kina RVP, IAN WRIGHT, PETIT waliocheza hapo Arsenal ni wapumbavu ila wewe mkurupukaji ndio una hekima sana au ndio unaujua sana mpira?
Eti arsenal ilifanya mchakato mkubwa sana kumpata emery,
Inaonesha ni jinsi gan Hata taarifa za klabu hufatilii
Sasa hivi timu imesajiri ndio unajitokeza humu
Mm nimeshakuweka pembeni
Nimejifunza kujibu hoja kwa hoja sio mipasho.

Gazeti reeeeeeefu.Mbona unaongea pumba sana

Naona unaandika utumbo tu ,mm.nishakupuuza , muda mrefu sanaGazeti reeeeeeefu.
Hoja hamna, sasa akisema van persie na Kewon, na petit ndio nini??? Kila mtu yuko entitled na mawazo yake. Wao wapiga domo kama walivyo wapiga domo wengine tu.
Decision makers have decided Emery to be the coach, end of season he will be assessed, aki-perform atapewa mkataba mpya kwa targets alizoekewa ambazo ni kuirudisha team UEFA. asipofikia target ndio itabidi atembee, lakini sio sasa hivi tupo match day 7 eti tuanze kuwa fukuzafukuza. That is not Arsenal's way and we will not do it that way. Wanaoumia kwa Emery waumie tu ila sisi tunamkubali kocha.