Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu Liverpool ndio timu yake anayoishabikia Unai kwa England nzima kwa hiyo tujiandae na mfumo wa diamond ule
 
Akiweka madogo wenu na sisi tukiweka wa kwetu mtatupiga madogo wetu hawajiamini
By the way hiyo mech Arsenal na Liverpool watacheza makinda tu, Liverpool hawez kurisk Wachezaji wake tegemeo kisa carabao kombe ambalo bingwa anapata £100,000 .

Liver anakikos finyu, the same na arsenal na michuano ni Mingi, hivo hiyo game ni hao vijana hasa hasa.
 
Venkatesham on January transfers: "We’ll see when January comes, although I’d say we always treat the summer window as the more strategic window & the January window being the one where you’re more tactical, maybe responding to an injury or another demand" #Arsenal .
 
Hivi hawa Carabao mbona kama wamezingua? Kwanini wasingetugea Man u ama jirani yake ili tuwapige kinoma noma?
Arsenal nahisi nimemzoea sana, ila furaha yangu huwa inadumu zaidi kama nikiwafunga hao majirani wa jiji la Manchester.
Ila pia sio mbaya, tutakutana nao tu.
 
Babu anataka kutusaliti sasa
IMG-20190926-WA0019.jpeg
 
15 years ago today, Arsenal's fierce rivalry with Manchester United reached boiling point.

The game dubbed 'The Battle of Old Trafford' ended in a 0-0 draw.

In the aftermath, Arsenal were charged £175,000 for failing to control their players.

Fines for players totalled £100,000 with 6 Arsenal players getting fined.

Despite this, Arsenal went on to go unbeaten all season so the draw was significant.View attachment 1213974
Ashley Cole alifanya maamuzi sahihi kuja Chelsea, asingebeba kombe EPL hata moja + uefa

Kila la kheri Chelsea
 
Wewe mpuuz umerud tena

Ashley Cole mtoto wa academy ya arsenal ,kabeba EPL 2 na mataji mengine na Arsenal

Kipind hicho Chelsea haijazaliwa, maana Chelsea imezaliwa 2005 ,ndio maana unasema Cole hajabeba EPL na arsenal,

Yaani wewe unajua timu zimeanza 2005
 
Arsenal Stars in Blind Ballot Over Captain's Armband*

Unai Emery has put the Arsenal captaincy to a vote.

Arsenal’s head coach has yet to officially announce who will replace the now departed Laurent Koscielny as skipper, although Granit Xhaka has worn the armband in every Premier League game so far this season.

Just as he did last year, Emery has stated that he wants to name five captains as part of a leadership group - and had said he would reveal who those players would be last week.

But, speaking prior to the Europa League tie at Eintracht Frankfurt, the Spaniard said he had decided to postpone making an announcement until after the Carabao Cup tie against Nottingham Forest.

The players have yet to be told, however, but Rob Holding has revealed that the squad were recently invited to put forward their preferred choices during a blind ballot at London Colney.

“We had a vote the other week so we’ll see what happens and see who gets named,” said the centre-back, who marked his return following 10 months out with a goal in the 5-0 win against Forest on Tuesday night.
 
| #AFC

AC Milan Striker and Poland International Krzysztof Piątek on Arsenal:

"As a child I was an Arsenal fan - I really liked the style of play of Wenger’s team and I admired great players like Bergkamp and Henry."
 
ALLEGRI READY TO TAKE SPURS JOB AS CLUB FEAR POCHETTINO WILL WALK AWAY (SUN)

Former Juventus boss Massimiliano Allegri is reportedly ready to take the Tottenham job if Mauricio Pochettino quits.

Pochettino has become frustrated in recent times in north London amid a worrying slump for the Premier League side and there are fears he could walk away from the club.

However, according to the Sun, Allegri - who managed Juventus between the years of 2014-19 - is waiting in the wings to replace Pochettino at Spurs.

The 52-year-old Italian manager is currently weighing up his next challenge after leaving the Italian giants in the summer.
TUKIZEMBEA TU SPURS WATATUPIGA BAO KWA HUYU ALLEGRI
 
UNAI ni kweli hatumkubali wengi wetu, lakini sidhani kama ataondoka kirahisi hivyo kama timu itaendelea kupata matokeo.
 
Huyu hata akipata matokeo watamtimua tu end of the season,

Hivi unajua WACHEZAJI sasa hivi hawafati maelekezo yake?
 
Wewe mpuuz umerud tena

Ashley Cole mtoto wa academy ya arsenal ,kabeba EPL 2 na mataji mengine na Arsenal

Kipind hicho Chelsea haijazaliwa, maana Chelsea imezaliwa 2005 ,ndio maana unasema Cole hajabeba EPL na arsenal,

Yaani wewe unajua timu zimeanza 2005
Jamaa bwege kapenda Mpira ukubwani
 
Baada ya Benitez kutoka Liva, ikapata makocha wa hapa na pale mpaka ikatulia kwa Klopp. Man U baada ya Alex kutoka wakazurura hapa na pale na saa hii wameangukia kwa Ole ambaye naamini ataondoka soon.
Chelsea wanaenda na kurudi kwa Mourinho, safari hii wametua kwa Frank, binafsi naamini siyo kwa kupenda isipokua wamekosa established coach ambaye angekubali kufundisha klabu isiyosajili.

Arsenal tumeachana na Arsene kaja Emery naona ghafla tuna hamu ya kuipita ruti waliyopita wenzetu. Ajiri, Tema, Ajiri, Tema tena. Yaweza kua Emery hatoshi lakini hapo ni tumemuweka sahani moja na Man City, Liverpool (Nimetaja hizi timu mbili kwakua ndiyo zina uhakika wa kushinda zinapocheza na timu nyingine) lakini kati ya hizi timu kuna moja ilijengwa kwa uvumilivu, trial and error mpaka wakafika wanapopataka halafu nyingine imejengwa kwa pochi.

By the time hizi timu zinajijenga, kwa pochi na kwa uvumilivu, sisi hatukua popote katika hayo makundi 2. Pesa hatukutumia na vipaji tulikua tunaviuza, hatukutumia pesa kuleta wachezaji wakali na vilevile hatukua na timu iliyosukwa kwa muda mrefu. So saa hii Emery ana timu ambayo imefungua pochi kidogo na ina makinda, ninachoona anajaribu kuwork out nani ni nini katika kila nafasi. Xhaka kuchezeshwa namba siyo yake siyo tukio la kwanza duniani, Henry alivyochezeshwa kama striker na Arsene hakuanza kuscore ghafla, ilichukua muda mpaka akawa tunayemjua leo.

Mgano tunajua kua mtu unahitaji beki wa kulia na kushoto wanatakiwa kua na speed kuliko CB ila Chambers hana speed ingawa ni beki mzuri. Mimi ningekua kocha nikicheza na baadhi ya timu siwezi kumpanga Chambers awe beki wa pembeni ni nitamweka CB au DMF. Emery anashinda na hawa watu karibia kila siku ni anajua nani ni nini katika nafasi anayompa.

Ingekua Man U ndiyo inalalamika kuhusu matokeo ningeelewa sana, kwanini? Kwasababu wametumia pesa nyingi karibia na Man City waliyotumia wanalipa wachezaji mishahara mikubwa lakini bado timu yao siyo tishio.

Miki nasema Emery ni kocha tena mzuri tu. Arsene alikuja akitokea Japan, na hakuna aliyejua huko alipotoka alifanya nini and the man turned out to be a legend. Emery hata historia yake ipo ila kumvumilia ndiyo mtihani au siyo? Kisa? Hajui kikosi. Nakumbuka fainali na Chelsea ya Europa kikosi alichopanga ni kilekile mashabiki tulikililia, tukafa nne, na huyu Ozil anayeliliwa hapa yumo.

Tukaga tatu na Leicester, tukafa 2 - 1 na timu jina limenitoka. Mimi nikisema Laca na Auba waanze hua simaanishi tunashinda hua namaanisha na sisi tunakua na fighting chance. Nikisema Matteo miyeyusho simaanishi asipokuepo tutashinda ila namaanisha akiwepo anaua fighting chance kwa ukosefu wake wa stamina na control.

Naamini baadaye kidogo tukitoka kwa Emery tutaenda kwa Luiz. Luiz ni mkabia macho kama Mustafi, na msababishaji penati mzuri tu. Tukitoka hapo tutaenda kwa Pepe, hajascore mpaka leo wakati Nketiah mechi moja tu kascore, Saka kashascore, tusihesabie la penati.

Hoja yangu ni kua arsenal bado tunajijenga, matamanio yetu yakae kando kama kusajili hata Totenham kasajili lakini maisha yake wote tunayaona na Efl kashatolewa.

Tuache mihemko.
 
Unatumia vigezo gan kumtetea kocha kama emery?
 
Back
Top Bottom