Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha ushabiki pepe anacheza vzr tu,Hivi pepe mmemuona anavyocheza jamani? Ligi ya epl imekuwa kubwa kwake nashauri mtoeni kwa mkopo alipotoka
Ni kocha anazuia , hamuwekei mazingira ya KUCHEZA,
Pepe ana mbio sana ,swala la kufunga litakuja tu,
U dhaifu wa emery hajui kusuka defence toka yupo Valencia , sevilla , PSG , alishawahi kupigwa 4-2 na wachezaji 9