Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani naombeni mumuone huruma huyu ndugu yetu AROON. anatusaidia sana kutupa updates za timu zetu sasa mkimpa za USO hivi Leo atajipiga ban wiki nzima na habari tutapata wapi sisi wa free basic hahahaha

Ila ukweli tumepigwa kwa Pepe, Unai na yule Luiz ni kachero mbobezi kutoka Chelsea kaja kuwachoma Arsenal.
Hahaha this is EPL kila wiki na maajabu yake.
Chaplin tulia

Arsenal tunaijua vzr haiwez kuharibiwa na mpuuzi mmoja

Kila siku nasema pale hakuna kocha

Soon tunamuondoa ,wachezaji ni wazuri ,

Tunamleta Alegri au Lucho
 
Chelsea mmevamia humu baada ya sare ya Jana

Subirini sasa ,Mkae mkijua Arsenal hatuwez kuharibiwa sifa na muhuni emery

Kama bodi tunabadili kocha soon
 
Mkuu mbona mbio mbio hivo,

Hapa hatuna kocha ila soon tunamtimua

Timu ipo Kali tu
Hahahahahahahahah Nimepitia comments nyingi za social media za Fans wa Arsenal hasa wa UK palepale Aisee Unai Emery ana maisha mfupi sana Arsenal.
 
Sawa lakini kiongozi uyu Unai mbona kama ligi itamshinda mapema tu?? Wee unaonaje ...tumpe timu Mourihno au tumrudishe Wenger..
UNAI NILISHASEMA HUMU SIO KOCHA

KWASASA TUNAJIANDAA KUMTIMUA

TUMETUMIA HELA NYINGI

ANAHARIBU FALSAFA YETU MPUUZI YULE
 
Hahahahaha naona timu yake inamgeuka sasa ....huyu tumemzoea hata msimu uliopita zilibaki gemu kama sita ivi msimu uishe ..uku yeye akiwa na wolves, Everton, na nyingine kdhaa ...yani alipiga esabu zake akaona Chelsea tuna gemu ngumu akachukulia maisha yatakuwa mepesi kwake lakini aliambulia draw tena kwa awa awa Watford ..zingine alipigwa...

AROON anaongeaga lakini anaujua ukweli kuhusu timu yake ...

Uku Luiz tumepigwa, Pepe tumepigwa, Unai Naye tumepigwa
TUNA TIMU NZURI YA KUPAMBANIA UBINGWA ILA KOCHA HATUNA

SOON TUNAMTIMUA

NI KOCHA KIWANGO CHA CHINI NIMEKUWA NIKISEMA HUMU, KUNA BAADHI WANANIPINGA


ANATUDHALILISHA SANA
 
Kiukweli Alhamis naombea tupigwe Ili joto lipande Afukuzwe mbwa yule
IMG-20190916-WA0022.jpeg
 
UNAI EMERY UVUMILIVU UNA MWISHO IMANI INAKIKOMO CHAKE

Binafsi ni mtu ambae niliamini asilimia kubwa huyu ni kocha pengine zile changamoto za first season ni kwamba alikuwa akitafuta ni aina gani ya soka acheze na mahitaji yapi ya wachezaji anayohitaji

Nilimpa mda kwa kuzingatia hayo lakini mpaka kufika sasa sijajua tunacheza nini ni msimu wa pili huu team ikienda away basi mpinzani anakuwa barcelona au man city na sisi tunakuwa girona au fc colgne so sad

display mbovu kuwahi kushuhudia ni jana watford wanapiga shots 31 jiulize walikuwa wanapita wapi kiungo ilipotea kabisa

Sababu hata tulichokuwa tunacheza akijulikani mfumo wa kuanzisha mashambulizi toka kwa keeper lazima uwe na watu wenye confidense na accurate ya pass zao

Jana ukiacha sokratis ata guendiuz alitoa boko maeneo hayo hatari kocha ni lazima ujulikane unacheza kwa falsafa gani unatumia mfumo gani

Kila siku mfumo mpya match moja mifumo kama minne au mitano kabisa game imekuwa tafu inahitaji watu wazoefu unawatoa unaingiza unaowaita fresh players wanaingia kupotea jumla bora walio toka

So sad
 
NARUDIA HATUWEZI KUHARIBIWA TEAM NA MUHUNI MMOJA , SOON TUNAMUONDOA

Arsene Wenger established a style of play at Arsenal over 22 years, the team committed to playing a type of football that was both entertaining and successful. But for all the lovely passing play, by the end of his tenure rival managers had sussed Arsenal out and left them trailing.
 
BREAKING NEWS!!!!!!

Taarifa za hivi punde zinasema
"Wachezaji wa Arsenal wamechoka mbinu za kocha wao unai EMERY"
"Kwamba kila mechi anakuja na mbinu zingine tofauti na za jana au juzi"
"Hivyo Wanataka kocha mwingine tofauti na yeye"
"Hii ni taarifa Kutoka Sky sports hivi punde"
Ahahah! Baada ya saa 24 za maumivu chimbo sasa ndo unatokea
 
NARUDIA HATUWEZI KUHARIBIWA TEAM NA MUHUNI MMOJA , SOON TUNAMUONDOA

Arsene Wenger established a style of play at Arsenal over 22 years, the team committed to playing a type of football that was both entertaining and successful. But for all the lovely passing play, by the end of his tenure rival managers had sussed Arsenal out and left them trailing.
Nimekupa mechi 10 tu, usisahau. Usimlaumu tu Emery, huna timu ya ushindani
 
Kwa kila magoli 2 au 3 Arsenal watakayofungwa, moja lazima litakuwa la Luiz
Updates
Arsenal kafungwa 8 mpaka sasa
Luiz kasha assist kufungwa goli 4
Penalti 3 kwa mechi 160 akiwa Chelsea
Penalti 2 kwa mechi 4 akiwa Arsenal

Utabiri
Kama Luiz kasababisha penalty 2 kwa mechi 4 tu, basi atasababisha penalty 19 kwa mechi 38
Leno anayo kazi

Daa huu utabiri siyo ya kisporti sporti kabisa aisee
 
Back
Top Bottom