Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Jaman jaman ,Breaking News.
Aroon is back after 5 days ban
Jaman jaman ,Breaking News.
Aroon is back after 5 days ban
Nilieleza humu toka mech na Liverpool hapa hakuna kocha ,kuna MTU alinipinga vikaliHuyu anatuharibia timu tuu!.. Mjataba wake ukiisha aende zake!.. Kochà wa kutupa mafanikio ni Maxmillano Allegri na hana timu kwa sasa..
NARUDIA HATUWEZI KUHARIBIWA TEAM NA MUHUNI MMOJA , SOON TUNAMUONDOA
Arsene Wenger established a style of play at Arsenal over 22 years, the team committed to playing a type of football that was both entertaining and successful. But for all the lovely passing play, by the end of his tenure rival managers had sussed Arsenal out and left them trailing.



sasa ivi kuna wahuni kwenye timu yako?Ninyi ni wepesi sana kufura mambo yanapoenda mrama. Binafsi sishangai matokeo mliyopata jana kwa sababu mlikutana na timu yenye viungo wazuri waliosumbua hata msimu uliopita. Kwa Arsenal yako ulistahili kabisa matokeo yale.UNAI EMERY UVUMILIVU UNA MWISHO IMANI INAKIKOMO CHAKE
Binafsi ni mtu ambae niliamini asilimia kubwa huyu ni kocha pengine zile changamoto za first season ni kwamba alikuwa akitafuta ni aina gani ya soka acheze na mahitaji yapi ya wachezaji anayohitaji
Nilimpa mda kwa kuzingatia hayo lakini mpaka kufika sasa sijajua tunacheza nini ni msimu wa pili huu team ikienda away basi mpinzani anakuwa barcelona au man city na sisi tunakuwa girona au fc colgne so sad
display mbovu kuwahi kushuhudia ni jana watford wanapiga shots 31 jiulize walikuwa wanapita wapi kiungo ilipotea kabisa
Sababu hata tulichokuwa tunacheza akijulikani mfumo wa kuanzisha mashambulizi toka kwa keeper lazima uwe na watu wenye confidense na accurate ya pass zao
Jana ukiacha sokratis ata guendiuz alitoa boko maeneo hayo hatari kocha ni lazima ujulikane unacheza kwa falsafa gani unatumia mfumo gani
Kila siku mfumo mpya match moja mifumo kama minne au mitano kabisa game imekuwa tafu inahitaji watu wazoefu unawatoa unaingiza unaowaita fresh players wanaingia kupotea jumla bora walio toka
So sad
Hauna kikosi cha maana wewe. Una washambuliaji tuTUNA TIMU NZURI YA KUPAMBANIA UBINGWA ILA KOCHA HATUNA
SOON TUNAMTIMUA
NI KOCHA KIWANGO CHA CHINI NIMEKUWA NIKISEMA HUMU, KUNA BAADHI WANANIPINGA
ANATUDHALILISHA SANA
Hatimaye mmeanza kujitokeza sasa. Pambav achen kuja na matokeo yenu mpira unachezwa uwanjaniAaron anakwambia "Muhuni Emery", Haahahaha!
Mimi mwenyewe nimeona huyu ni muhuni kama wahuni wengine.
Hahahahahahahahahsasa ivi kuna wahuni kwenye timu yako?
Niongezee kitu hapa,Ukitazama mechi zote za Arsenal alizocheza mpaka sasa,Arsenal wakishambuliwa tu mashambulizi yote huwa wanayaokolea ndani ya 18 kwa nini usiruhusu magoli.Ninyi ni wepesi sana kufura mambo yanapoenda mrama. Binafsi sishangai matokeo mliyopata jana kwa sababu mlikutana na timu yenye viungo wazuri waliosumbua hata msimu uliopita. Kwa Arsenal yako ulistahili kabisa matokeo yale.
Kwanza usajili mnaofanya hata haueleweki hasa wa viungo. Mtu kama Ozil anahitaji watu wa maana ili uione sanaa ya mpita. Sasa ukimuwekea Guendouzi sijui kina Xhska hawafanyi supply kwa hiyo huwezi kuona cha maana lakini Ozil uyo mpeleke Man City akutane na kina Gundogan, Feenandinho au Silva utaona moto wake. Kwa jinsi Watford wanacheza mlihitaji mkabaji kama Kante ili kuharibu mipango kwa bahati mbaya hakukua na mtu kama huyo na ndio maana tunashuhudia yanapigwa mashuti 31 yanapatikana magoli mawili 2, nadhani bahati haikua kwao.
Nahitimisha tatizo lenu ni kiungo mkabaji na beki wa kati.
Soon tunamtimuaAaron anakwambia "Muhuni Emery", Haahahaha!
Mimi mwenyewe nimeona huyu ni muhuni kama wahuni wengine.
Usajiri ni mzuri ila mwalimu kiburi ,kila namba kaletewa watu , ila hawatumii anakazana na vitotoNinyi ni wepesi sana kufura mambo yanapoenda mrama. Binafsi sishangai matokeo mliyopata jana kwa sababu mlikutana na timu yenye viungo wazuri waliosumbua hata msimu uliopita. Kwa Arsenal yako ulistahili kabisa matokeo yale.
Kwanza usajili mnaofanya hata haueleweki hasa wa viungo. Mtu kama Ozil anahitaji watu wa maana ili uione sanaa ya mpita. Sasa ukimuwekea Guendouzi sijui kina Xhska hawafanyi supply kwa hiyo huwezi kuona cha maana lakini Ozil uyo mpeleke Man City akutane na kina Gundogan, Feenandinho au Silva utaona moto wake. Kwa jinsi Watford wanacheza mlihitaji mkabaji kama Kante ili kuharibu mipango kwa bahati mbaya hakukua na mtu kama huyo na ndio maana tunashuhudia yanapigwa mashuti 31 yanapatikana magoli mawili 2, nadhani bahati haikua kwao.
Nahitimisha tatizo lenu ni kiungo mkabaji na beki wa kati.
Ngoja tulete kocha maana hujui unachoongea , kocha ameletewa DM , hamtumii anakomaa na xhaka kama DM wakati sio namba yake , hampend LT11 Na baadhi ya wachezajiHauna kikosi cha maana wewe. Una washambuliaji tu
*Mesut Ozil amerudi kikosini, Ceballos nae kaanza. *Hatujawai kupoteza mchezo wowote dhidi ya Watford ambao Mesut Ozil alianza.
#coyg![]()
#ArsenalBongo#EPL
























































#invincibles @arsenal”. [IG: jjaliadiere] #afc htMtimueni mapema huyo Tapeli wa Yombo Buza ,Unai ni muhuni tu kama wale wahuni wa Ubungo Terminal.Jeremie Aliadiere on Instagram: “Great to see my old team mate Edu Gaspar yesterday but very disappointed with the result. #coyg#invincibles @arsenal”. [IG: jjaliadiere] #afc htView attachment 1209405