Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Muacheni unai afanye kaziNi kocha mzuri ila kwa Arsenal bado , naona kabisa timu inamzidi uwezo,
Muacheni unai afanye kaziNi kocha mzuri ila kwa Arsenal bado , naona kabisa timu inamzidi uwezo,
unai mbabaishaji aisee, seriousMuacheni unai afanye kazi
Just to remind you, he is our captainThe good news is Bellerin is back that means Niles will be back to his position Xhaka will be benched he is not good enough always repeat the same mistakes
Tena for me I considered iwobi a deadwood.Mikh na Iwobi wote ni Surplus to Requirements, si wa kuwawaza kabisa
maitland bonge moja la player sema anachezeshwa unusual positionMaitland hana hadhi ya kuchezea arsenal
Duh ww jamaa haupo serious, kwanza hiyo namba anaicheza kwakuwa belle hayupo ,yeye ni CMMaitland hana hadhi ya kuchezea arsenal
Sawa ila tumshukuru Mungu maana ilikuwa awape Watford goli 2Duh ww jamaa haupo serious, kwanza hiyo namba anaicheza kwakuwa belle hayupo ,yeye ni CM
Upo sahihiMkuu hiyo Formation haipo sawa, Formation halisi ni kuwa Auba anatokea Kushoto na Pepe anatokea kulia.
AUBA - PEPE
DANI - OZIL - GUEND
XHAKA
KOLAS - LUIZ - SOKRA - NILES
LENO
Formation: 4- 1- 3- 2
Humpendi tu xhaka mzee baba.HAWA NDO WACHEZAJI TUTAKAOWATEGEMEA
Katika Kipindi hiki ambacho LACAZETTE amepumzishwa ili awe fiti au apone sawasawa
hawa ndio wachezaji watatu tutakaotegemea
Pepe kulia
Nelson/saka/Martinel kushoto
Aubameyang KatikatiView attachment 1208212
Xhaka ndio anaandaliwa kutangazwa kama captain mkuu,kweli unai amkubali torreira, hakuna haja ya kumuanzisha granit xhaka kama DM hiyo namba ni ya torreira
Poleni sana mate.Waungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game
Ulitaka amchezeshe namba ipi???Unai sio kipenz cha lucas torreira....
Sheikh taratibu sheikh😀😀😀😀😀Unai msenge tu, xhaka sio namba 6 kiukweli, anaweza akaishia kutukera tu.
#ArsenalBongo#EPL