Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Luiz
Screenshot_20190916-110906~3.jpeg
 
Kwa kila magoli 2 au 3 Arsenal watakayofungwa, moja lazima litakuwa la Luiz
Updates
Auba kashafunga 5
Luiz kasha assist kufungwa goli ??
Arsenal kafungwa 8
Luiz kasha assist kufungwa goli ??
 
Ila huyu luiz nilimzungumza sana humu jaman yule jamaa hatufai, cjui kwann wanazengo hamniamn maana naona fan wote humu kila atakae taja kikosi chake lazma amuweke luiz cjui huu upupu wake hamuon, chambers ndo angekua chaguo sahihii kwetu sio huyu katuni wa chelsea sema yote kwa yote bora holding kapona naamn atanitolea huyu upupu kwenye 11 yetu
 
Uyo kwa sasa ni katuni wenu ..sio katuni wetu tena..
 
Kwa kila magoli 2 au 3 Arsenal watakayofungwa, moja lazima litakuwa la Luiz
Updates
Arsenal kafungwa 8 mpaka sasa
Luiz kasha assist kufungwa goli 4
Penalti 3 kwa mechi 160 akiwa Chelsea
Penalti 2 kwa mechi 4 akiwa Arsenal

Utabiri
Kama Luiz kasababisha penalty 2 kwa mechi 4 tu, basi atasababisha penalty 19 kwa mechi 38
Leno anayo kazi
 
BREAKING NEWS!!!!!!

Taarifa za hivi punde zinasema
"Wachezaji wa Arsenal wamechoka mbinu za kocha wao unai EMERY"
"Kwamba kila mechi anakuja na mbinu zingine tofauti na za jana au juzi"
"Hivyo Wanataka kocha mwingine tofauti na yeye"
"Hii ni taarifa Kutoka Sky sports hivi punde"
 
Mkuu AROON, AARON, AARON uwe na akina ya maneno kwa sababu timu huna pale ,Unaropoka sana tulia mkuu ona sasa umejipiga BAN mwenyewe.
Mkuu mbona mbio mbio hivo,

Hapa hatuna kocha ila soon tunamtimua

Timu ipo Kali tu
 
Back
Top Bottom