Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Toa Nelson sub na Mesuit
Pole sana mkuu , kuhusu update utapata tuWaungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game
Piga ramliKila la kheri Watford ...
Kuna msiba unanukia hapa leo.
Come on Watford![]()
Waungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game

Asante mzeePole sana kwa msiba kaka
Asante mzeePole sana mkuu.
RIP bibi yetu.
Asante mzeePole sana mkuu , kuhusu update utapata tu
Pole saana ndugu yetu.Waungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game