Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_0466.JPG
 
Nipende kutoa lawama kwa Watford wametuangusha hii gemu wangeimaliza kabisa, tuna subiri mauchambuzi ya Aaron Kwanini Watford anataka kufufukia kwetu 😇😇😇😇😇
 
Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester..

Tatizo la Arsenal haipo kwenye shape katika safu la ulinzi.

Ni hadi hapo vijana Kieran Tierney, Rob Holding na Hector Bellerin watakaporudi na kushika nafasi zao za kudumu.

Sokratis na luiz bado hawajaelewena.

Maitland -Niles ni kiungo ambae alibadilishwa acheze nafasi ya pembeni.

Safu ya Arsenal itakamilika soon.

Matokeo si mabaya kwani hatujafungwa na wala hatujaachwa mbali sana na hao walio juu yetu.
 
Hamkumaliza kulipa deni la pepe. Bado mnadaiwa £ 50 Million.
Hapa pressure zitawaua. Sisi ambao tumeizoea EPL huwa hatusemi sana mpaka zichezwe mechi angalau 10
Hahahaha wanalipa kwa mafungu

Hili fungu linalofata linaeza kuwashinda..
 
Back
Top Bottom