Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kieran Tierney’s message after the NLD.
IMG_20190902_165912.jpeg
 
Unai Emery ni mpumbavu mwenye kibri na jeuri. Atawauzaje na kutoa wachezaji wote hao kwa mkopo?

Kama mnakumbuka last session tumeshindwa kuingia top four kwa sababu ya Squad Depth iliyopelekea kukosa mbadala pale mchezaji alipoumia refer Holding, Bellerin, Mavropanos na wengine pia kukosa rotation ya squad. Sasa this session amezidi kupunguza kikosi, refer maingizo na matoleo.

Tuna kazi ya ziada.
 
Mkuu taratibu , inaonekana hufatilii klabu inaendaje kwa sasa,au hupati habari vzr,

Kwanza emery haondoi wachezaji , kina Raul na bodi nzima ndio wanawaondoa ,

Msimu uliopita aliyeshindwa kutupeleka top 4 ni Emery mwenyewe , katika mech 8 alihitaji point 4 tu alishindwa kuzipata kwa tactic zake mbovu

Upana wa kikosi ni kuwa na quality players sio rundo la wachezaji wengi.

Upande wa fullnack left kuna kolasinac ,tierny anarejea baada. .ya wik mbili, right belle anarejea pia , CB wapo luiz, sokratis , chamber ,holding, mavporonous

Midfield wapo xhaka ceballos toreira gunduz willock ,

Attacking kuna pepe laca auba nelson, ozil , martinel, saka

Kikosi hiki kinatutosha kabisa kuliko kubaki na deadwoods kina iwobi na. Welbek

Lengo la kuwaondoa hao wote ni kuingiza wachezaji wapya ,January na summers

Pia kupunguza wages bills mpaka sasa imepunguzwa £50m kwa mwaka

Hivo ni rahis kuleta Top players na kuwalipa vzr ,
 
Pitia upya ufahamu nimemaanisha nini. Sizungumzi wage bill hapa..

Ukicheza Sunday, Thursday na Sunday/Saturday utapanga vipi hao wakina Aubameyang?

Uelewe depth squad umuhimu wake. Hawa wachazeji injuries na fatigue zitawapata.
 
Unai Emery ni mpumbavu mwenye kibri na jeuri. Atawauzaje na kutoa wachezaji wote hao kwa mkopo?

Kama mnakumbuka last session tumeshindwa kuingia top four kwa sababu ya Squad Depth iliyopelekea kukosa mbadala pale mchezaji alipoumia refer Holding, Bellerin, Mavropanos na wengine pia kukosa rotation ya squad. Sasa this session amezidi kupunguza kikosi, refer maingizo na matoleo.

Tuna kazi ya ziada.
Ile ilikua mizigo, ata ukiwa nao hawabadilishi matokeo
 
Arsenal signed 7 players that Sven Mislintat recommended: Aubameyang, Mkhitaryan, Guendouzi, Sokratis, Leno, Torreira,pepe
 
Pitia upya ufahamu nimemaanisha nini. Sizungumzi wage bill hapa..

Ukicheza Sunday, Thursday na Sunday/Saturday utapanga vipi hao wakina Aubameyang?

Uelewe depth squad umuhimu wake. Hawa wachazeji injuries na fatigue zitawapata.
Sijui hofu yako iko wapi, Kama hawa kina auba ,laca ,pepe tarajia kuwaona huko Europa kwa pamoja kuanzia robo fainal au zile mech za Emirates , hizi mech za awali makundi watacheza kina nelson, martinel, willock na hawa ambao hawajacheza sasa hivi, na kina belle ,tierny wataanzia hizo mechi.

Hadi January wataongezwa watu baadhi .

Hawa walioondolewa ni sahihi , Uongoz upo sahihi , MTU kama Micky hapati nafasi na namba yake ndio hiyo inagombaniwa na hawa watoto 3 ambao inabid wapewe chance ,hapo hapo bado Pepe anaicheza hiyo namba.
 
Carl Jenkinson’s homecoming in the Carabao Cup set for Tuesday, September 24th. 7.45pm kick-off.
 
Me sijamuelewa kocha alivomtoa nacho wakat kwenye ile nafasi bado sijaona mtu wa kuimudi vizur kama nacho halafu bado mky ni wa muhimu sana japo haonekani kubadilika
Kabisa mkuu, kuna wachezaji wakiondoka wananiuma japo wakiwepo nawachukia mfano IWOBI naona inaniumiza flani nkimuona everton.
 
Xhaka kula umeme nimependa nadhani gemu zijazo atamtumia lt11 kama dm huku cebalos na matteo wakiwa kama CM.. xhaka ana matatizo saana akicheza midfielder ya chini hasa akiwa pekee na wapinzani wakiwa na presha ya hali ya juu.. amtumie lt11 nadhani alitaleta matokeo chanya.

Jana tumefungwa magoli fulani ambayo kiuhalisia hatukupaswa kufungwa ni uzembe mkubwa... Na makosa km haya ndio yanatunyima points daima, tunafunga ila tunaruhusu magoli, leno alifanya saves nyingi nzuri, na pia sie tukakosa nafasi kadhaa za wazi.. ni kuongeza umakini katika umaliziaji na kuongeza umakini katika uzuiaji.
Xhaka alipewa red kivipi tena, mbona sikuiona hiyo?
 
Harry Kane is a cheat, who has now dived in 2 continuous games. If the FA had some spine, he'd be banned. Dele Alli too. But nothing will happen. They will protect English players and as a result, Spurs too. Remember when Oumar Niasse was banned for something far less blatant?
 
Most take-ons completed after GW4 of this Premier League season:

• Nicolas Pépé (15)
• Wilfried Zaha (13)
• Manuel Lanzini (13)
• Mateo Kovacic (13)

Nicolas Pepe #AFC #COYG
 
Unajua saa zingine inaingia akilini kumtoa Mkhitaryan kwa mkopo kwa sababu huwezi kulipa mtu £200,000 ambazo ni zaidi ya milioni 500 kwa wiki afu mtu akae benchi tu!

Bora umpunguze kwa faida 2:

1. Anapunguza gharama za mshahara.

2. Anaachia nafasi kwa vijana wenye kiu ya kuonyesha uwezo wao ambao wanaweza kuongeza kitu zaidi na hata kuleta mafanikio kwa klabu baadae.

#coyg
arsenal_bongo-20190902-0001.jpeg
 
MOURINHO KUHUSU ARSENAL DHID YA SPURZ

Arsenal kuanzia katikati wapo vizur na wana options nyingi

jukum la kocha tu kumaliza palipobakia kwenye kupanga timu

Auba anacheza pembeni ila muda mwingine anajisahau anahis kama yupo kat kat kulingana na uchezaji wa Arsenal

Pia anasema Auba angekuwa pale Liver angefunga sana magol mengi hata kama angecheza pembeni kwasababu Firminho anashuka chini zaidi na kuwaacha Mane na Salah wakifanya wanavyotaka kitu ambacho Lacazette kwa upande wa Arsenal hafanyi.
Firmino ni false 9, lacazzete pale ni CF kuna utofauti kidogo, lakini naona wanacheza vizuri, ndio kwanza game 1 na utatu wetu wakizoeana italeta matokeo chanya zaidi
 
Unai Emery ni mpumbavu mwenye kibri na jeuri. Atawauzaje na kutoa wachezaji wote hao kwa mkopo?

Kama mnakumbuka last session tumeshindwa kuingia top four kwa sababu ya Squad Depth iliyopelekea kukosa mbadala pale mchezaji alipoumia refer Holding, Bellerin, Mavropanos na wengine pia kukosa rotation ya squad. Sasa this session amezidi kupunguza kikosi, refer maingizo na matoleo.

Tuna kazi ya ziada.
Hapana ndugu! Hebu niambie position gani ina upungufu??
Ngoja nkupangie kikosi hapa ukione
1. Leno /Martinez
2. Bellerin/ Maitland-Niles
3. Tierney/ Kolasinac
4. Sokratis/Mavropanos
5. David Luiz/ Holding/Chambers
6. Xhaka/Torreira
7. Pepe/Nelson
8. Guendouzi/Ceballos
9. Lacazette/ Martinelli
10. Ozil/willock
11. Bukayo saka/ Emile Smith Rowe/Aubameyang

NB: wachezaji sio lazima wacheze kama nlivyoandika. Wanaweza wakacheza namba tofauti tofauti.

Sasa squad hiyo mzee upewe nini sasa???
 
Back
Top Bottom