Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni habari nzuri ,mou cha muhimu atimiziwe mahitaji yake
Mou ni mshindi , nadhani hata sasa mahitaji yake ndio yanashughulikiwa man u,
Jose ananunua mafanikio (sio makocha wote wenye uwezo wa ku spend na kupata mafanikio)

Kwa hiyo hiki kinachofanyika sasa hivi United, asingekiweza kwa kuwa United wana rebuild, na ni long term plan (msamiati ambao Jose haupo akilini mwake) . Hata ukiangalia umri wa wachezaji anaotaka Jose ni wa kuleta mafanikio ya papo kwa papo (experienced players)

Swali linakuja, Arsenal wanaweza/wapo tayari kutoa £200 million kwa ajili ya kutimiza adhma ya Jose

Kiukweli sina matatizo sana na Jose (kwenye uwezo wa kuleta mafanikio ya timu) lakini kwenye aina ya mpira anacheza mara nyingi si ule ambao watu wengi wanaupenda. Kubwa zaidi, ni kocha Misimu miwili au mitatu anaondoka sababu ya poor man managent
 
Hakuna watu wanaishi kwa stress kama wachezaji mpira
 
Jose ananunua mafanikio (sio makocha wote wenye uwezo wa ku spend na kupata mafanikio)

Kwa hiyo hiki kinachofanyika sasa hivi United, asingekiweza kwa kuwa United wana rebuild, na ni long term plan (msamiati ambao Jose haupo akilini mwake) . Hata ukiangalia umri wa wachezaji anaotaka Jose ni wa kuleta mafanikio ya papo kwa papo (experienced players)

Swali linakuja, Arsenal wanaweza/wapo tayari kutoa £200 million kwa ajili ya kutimiza adhma ya Jose

Kiukweli sina matatizo sana na Jose (kwenye uwezo wa kuleta mafanikio ya timu) lakini kwenye aina ya mpira anacheza mara nyingi si ule ambao watu wengi wanaupenda. Kubwa zaidi, ni kocha Misimu miwili au mitatu anaondoka sababu ya poor man managent
Hapa nimekuelewa vzr,

Kwasasa Arsenal imeanza kubadilika ktk utoaji hela ,dirisha hili tumespend karibu £140m kwahiyo ni swala la yeye kukubaliana kuhusu condition zake anazotaka atimiziwe,

Uongozi umebadilika wamekuwa karibu na timu hata mech za away wanasafiri na timu, na bodi imeamua kufanya kazi na mendes kitu ambacho awali ilikuwa ngumu kuwa karibu na mawakala wakubwa.

Wenye timu wamejitetea baada ya kampeni ya mashabik kutaka waachie klabu,

Wanadai kwasasa wanaimiliki klabu 100% ,hivo watakuwa responsible .
 
Mkhitaryan from Arsenal to AS Roma, here we go! Done deal for a loan with buy option. The player will be in Italy soon to sign his contract. #AFC #Arsenal #ASRoma #transfers
 
Tierney and Bellerin will return to full training in mid-September at the earliest. [@BBCSport]
 
Now that Mkhitaryan has left Arsenal, lets look back at his greatest performance in an Arsenal shirt #GoodbyeMkhi https://t.co/tmugkL2mWp
IMG_20190902_142906.jpeg
 
Emile Smith Rowe fully fit despite that knock he suffered for U23s against Derby at the weekend. His substitution was only precautionary.

Expected to train with Emery’s first team over international break, has already been officially promoted to first team.
 
Huyu na yeye Safari inamuhusu

Xhaka for Arsenal:

Penalties conceded - 5

Total errors leading to a goal - 11
Huyu maamuzi yake ya kijinga sana. Ile rafu ya jana iliyotoa penati ingeweza kuwa red card kwa refa mwingine
 
Ule mgoli wa lacazet n wa kiroho mbaya,. Ukiangalia perfaomance yake ya jana unashindwa kumwelewa emery y hamwamn.? Jana nilikua namwonea huruma sokratis alifanya kazi ya bek 4 na 5 kwa pamoja, luiz awez kukaba mashambuliz meng haya mkuti kwenye eneo lake. Clearlance zenyewe anazfanya kvivu. Now n mda wa kufunga na kusal holding arud mapema
 
Summer Clear Out

Cech, Koscielny, Ramsey, Ospina, Iwobi, Monreal, Welbeck, Jenkinson, Elneny, Lichtsteiner, Asano, Bielik Mkhitaryan

£50m returned

£900k a week saved on wages
 
Arsenal this window..
Out:
Ramsey
Cech
Welbeck
Ospina
Bielik
Asano
Lichtsteiner
Jenkinson
Iwobi
Monreal
Mkhi(loan)
Elneny(loan)
Eddie(loan)

In:
Tierney
Ceballos
Pepe
Martinelli
Luiz
Saliba

Most of our players sold are either old or aren't good enough. Best window till date.
 
Unai Emery bluntly told some players they had no future at Arsenal and hopes Mustafi will leave on loan. Mustafi has interest from clubs in France, Germany and Italy but it is yet to have transpired into any offers [via @TimesSport]
 
G Nev on Xhaka..

An experienced player who never becomes experienced!!

Everyone can see it, @UnaiEmery_ please open them eyes you have
 
Holding Bellerin and Tierney will make us better but emery needs to find something in midfield quick.

Early signs Willock Guen and Ceballos are his best choice
 
Brilliant piece of business in an overall great summer. Roma have to pay us the £2.7M to take him on loan and pay his £10M a year salary in full. When he comes back he will have a year remaining on his deal too.
 
Back
Top Bottom