Kiburi cha Unai kimetuponza,
Pepe ni talented player ,
Laca ana hold mipira , unamuweka bench,
Hivi unai hajui kuwa kumuweka laca kungefanya pepe na auba wapate space za kupenyeza mipira zaid ?
Kwenye midfield Unamuweka LT 11 nje kila siku,
Unamuanzisha Mateo & Willock Anfield kweli ? Wakati
Una uwezo wakuweka kiungo solid cha
Xhaka lt11 ceballos
UNAI hawez kutufikisha nchi ya ahadi .
Baada ya kuona lineup tu, sikuweza kuwa na matumain yoyote ,
Na Jana nimethibitisha Unai sio kocha ni msimamiz wa mazoez,