
KWAHERI NACHO MONREAL Umetuachia na Maisha yetu ya Afadhar ya Jana.
Unaelekea REAL SOCIEDAD nyumbani kwenu Spain ila Mwambie UNAI Akishindwa kutuweka TOP 4 akyanani Atakufuata huko huko!!!
Hatuna Sabab ya Kufungwa Kirahisi Rahisi ingali Majembe Tunayo...
Anataka Kuyatumia wapi na kama Kila mchezaji alikuwa FITI ktk game ile na Liverpool pale kwao Anfield,Akapanga km anacheza PS.

Machungu tunayo sisi Wana Gooners angejua Hatuna Raha kabisa kwenye Mabanda yetu huku Uswaz..
Ila poa Ilikuwa Wiki ya Misiba Ya wengi...
Mahasimu SPURS tumeshuhudia wakikabwa kooni uwanjani Kwao kwa kupigwa 0 - 1 na NEWCASTLE na Wale Jamaa Zetu wale MAN BUUuu Wakilala 1 - 2 na CRYSTAL PALACE pale Trafford..Afadhari afadhari bado tupo TOP 4
Weekend Hii Jumapili tunacheza na SPURS Nyumbani Emirates.Hawa jamaa sisi ni wapinzani wetu yaani Mahasimu wetu ndani ya jiji la London tupo karibu nao kabisa Unafanya kutembea kwa mguu unafika mtaani kwao hatupo nao mbali,katika Ligi wanaomba wamalize juu yetu ndo Kipengele chao kikubwa kila Msimu na mwaka jana wametupita kila idara Wamefika fainali CHAMPIONS LEAGUE na ktk ligi wamemaliza wakiwa juu yetu..
Tumetoka kufungwa wametoka kufungwa Hivyo Basi UNAI endelea kulazimisha kutia Chumvi ktk Chai matokeo yake tutakwambia Mwisho wa Msimu...
HATUTAKI KUFUNGWA MFULULIZO Please..
View attachment 1190568