Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,400
Mkuu nakubali Liverpool ni superior team kwa sasa hivyo kufungwa pale Anfield sio inshu kubwa sana. Inshu ni tactics za kocha. Selection yake ya wachezaji imetuacha na maswali makubwa sana.
Kama tunategemea akina Willock washindane na Fabinho/Henderson kwenye kiungo wakati una LT nje una Mpambanaji Lacca anaingia dakika 10 za mwisho basi kuna tatizo.
Nguvu kubwa ya Liverpool ni mabeki wao wawili Trent-Alexnder Arnold na Andy Robertson.
Ni kweli kama Arsenal wangechezesha kikosi chake kamili kule mbele Pepe, Laca na Aubameyang. kati Xhaka na Torreira na AM Ceballos.
Nyuma kushoto Kolasinac, kulia Maitland-Niles kati Sokratis na Luiz.
Baade unaingiza DMs Guendouzi, Mikhy na Ozil maana ni big game.
Unaachana na akina Willock na wengine unawaambia hii ni big game ni kushinda au sare.