Mimi ni mkurupukaji kweli mpayukaji kweli na sijui mpira kweli
Mustafi hayupo kwenye mipango yenu mbona sasa hamjamuuza ? Anaenda timu gani?
Hata tukiassume kuwa Mustafi hayupo bado beki ya kati wanabaki David Luiz na Sokratis ambao nao sio Class Centerback, David Luiz isn't a good Defender
Ainsley Maitland-Niles beki moja mmbovu Sead Kolasinac huwa hadefend ila mzuri kushambulia etc
Acha upayukaji basi , na kweli hujui, kwahiyo kama mchezaji hajauzwa , umekurupukia wapi kumtaja bila kufanya utafiti kabla hujaongea, je umemuona kwenye lineup lini hata sub tu, ?
Ndio maana nilikwambia acha ukurupukaji, kwan dirisha limefungwa ?au unajua tayari kwa kuwa hufatilii ,
Na hata dirisha likifungwa , mustafi ameshaambiwa hana namba, Unasema arsenal haina center class ,huna vigezo ila mawazo yako mfu, Sokratis ni beki mzuri tu ,kuna luiz ni mzuri kuanzisha mashambulizi , wewe unataka tuwe na center za aina gani? Kuna chamber ambaye amecheza vzr sana mech ya 1, kuna holding anafanya full training ,soon anaingia moja kwa moja 1st eleven .Unamtaja Ainsley ni beki mbovu umetumia takwimu gan ,mbona tunakuwa waongo hivo, maana pamoja na Niles kutokuwa ile ni namba yake lkn had sasa amecheza vzr na mech ya kwanza akitoa assist kwa Auba ,maana anapandisha timu vzr tu, Sasa unatumia vigezo gan hutaki kusema .
Unamtaja kolasinac ,ambaye sio mbovu kama unavyotaka kusema hapa , anashambulia sana kuliko kudefend ni kweli ,lkn yupo Nacho ndio amekava hiyo nafas kwasasa , na Kola anaingi kushambulia , wakati huo huo Arsenal imemuongeza Kieran tierny Namba 3 nyingine bado yupo injury.
Hii yote inaonesha ni jinsi gan unakurupuka bila kuja chochote ,